imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Huo ni mtumbwi wa MautiSomalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mtumbwi wa MautiSomalia
[emoji38][emoji38] chief tumalizie ulifanyaje mpaka ukarudi bongoSouth Noma niliwahi kufata mkumbo mwaka 1990 nikashawishika kwenda South dah nilipofika nilijilaumu sana baada ya kuona maisha halisi waliokuwa wanaishi watz.... Baada ya kufika moja kwa moja tulienda kujitambuliza kwa home wetu kuwa tayar tumeingia basi home boy akatupeleka anakokaa kwenye mgorofa mmoja humo kuna wabongo kama wote.... Yaani sitokuja sahau aisee... Hilo gorofa kila muda ni milio ya risasi namuuliza mwanangu vip ananiambia kuna mtu kazingua kabigwa risasi mara wabongo wale wa kule wamevamia hapa wamepiga watu risasi kisa demu aisee maiti kila muda duh
Kweli hakuna jipya chini ya jua,sie kaka,anko Zenu tulijsribu kuzamia bondeni kipindi Cha Mandela miaka ya 94s,wapo waliofanikiwa wapo waliotoswa baharini,waliofanikiwa waliporudi walikuwa na mpunga mrefu hatari.Natumai wazima wote leo nilikuwa natamani tushee Jambo moja na watanzania wenzangu mnaohitaji kuja kutafuta ajira huku SA
And watu wa hivyo wakishalewa wanakuwa wanajiona wanyamwezi sana, madharau mingi na kuwaona wabongo hawana exposureHajawah kukaa sawa ..aliondoka 1997 akarudi siku ya msiba wa dingi ake na hiyo 3m..since then akasema harudi huko wenzake wote wameoa na maisha wanayo..yy kkutwa kugongea nyagi
Kuna jiran yetu aliibaga TV nyumban kwao.Ila kunamtu alikua anasimlia simlizi ya huko alisema maisha ni magum Tena akasema usiombe ukutane na wabongo mateja yani watakulazimisha ujisaidie wapekue kinyesi waone Kama kunaunga ila alisema kua wabongo wanapendwa Sana na madem wa south Africa sijui nikweli
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wakuu niunganisheni na hizo groups.Mkuu saizi Qatar,UAE kuna fursa Sana wahindi hawaingii sababu ya Covid-19. Ukiomba mchongo wa fani yoyote kwenye matangazo yao unapata fasta.
Wananiletea sana through International group flani hivi. Naipotezea nafasi ni nyingi sana UAE
Dah siyo poa kule kwa wadada hakufai aise ..kama haina roho ya kibabe hauishi..Nimemshuhudia...well nimeambiwa, kuna mdada karudi tokea Uarabuni ambako alipata mchongo wa kazi za ndani
Sasa amerudi kumbe alikuwa mchana anaosha vyombo ila usiku alikuwa anapigwa mtungo na mzee mwenye mji na vijana wake wanne.
Ana hali mbaya sana na huwa anatibiwa bawaziri iliyosababishwa na kuingiliwa bila vilainishi katika njia yake ya haja kubwa.
nitakuha matembezini kwa week kadhaaa... utakuwa mwenyeji want I[emoji2]Natumai wazima wote leo nilikuwa natamani tushee Jambo moja na watanzania wenzangu mnaohitaji kuja kutafuta ajira huku SA
Ukweli ni kwamba ajira huenda zikawepo ila siyo kwa watanzania
Huenda hujanielewa watanzania huku hatuaminiki, ni vigumu mtu kukuamini kukupa kazi wengi "wezi' hali iliyopelekea kupunguza imani juu yetu
Huku unaweza kukuta wabongo 200 ila walioajiriwa hawazidi 40 wengi wezi Hawa hujiita "26" Hawa ni wabaya hawamwangalii wa kumuibia na waliobaki wamejiajiri kama kuuza matunda nk
Tatizo letu kubwa tunakuja SA kuja kutafuta ajira tukiwa hatuna msingi tukija tunashtukia kuwa hakuna ajira
Wenzetu Wasomali, Ethiopians, Nigerians huwa wanakuja huku na mitaji yao hata ukiwaona Wasomali wameshikwa huko Tanzania pale wanakuwa wamejipanga wanahela wakija huku wanafungua biashara wanatoboa pia wanasaidiana na kiukweli wana hela ila kwa watanzania ni kinyume
Ushawahi sikia vurugu dhidi ya watanzania? Natives wa huku huwa hawamchukii mtu asiye na mafanikio na wabongo hatuna chochote ndiyo maana hawatufanyii vurugu kama kwa wanaijeria na wengine
Wabongo huku tunauana miezi miwili ilyopita Johannesburg watanzania wamemuua mtanzania mwenzao kisa Randi 8000 sasa imagine
Nia na madhumuni ya uzi huu wewe unaetaka kuja huku jipange uwe na mtaji huku sasa hivi ajira kwa wabongo hamna brothers wa miaka ya 90s Washa tuharibia CV pamoja na watoto wa Dar Hawa huja SA kufata life style tu hawana malengo ndiyo wanaofanya watanzania woote huku tuonekane wazurulaji pia ndiyo wanaongoza kwa kuuana Kisha kusafirisha maiti kurudi Dar
NB: Kila mtu anabahati yake kana unakuja njoo ujaribu bahati yako ila jipange kisaikolojia