Angalizo kwenu . . .

Angalizo kwenu . . .

Ahaa, kwa iyo we huogopi kuua ila unaogopa kuzini tu!

Aaaha mkuu unataka kunihukumu vibaya, hilo la kuua limekujage tena hapa? naona kama umesahau topic tunayoongelea hapa
 
Gilo24 kuwa na hofu na Mungu ni nini kama sio woga?
 
Last edited by a moderator:
Gilo24 kuwa na hofu na Mungu ni nini kama sio woga?
 
Last edited by a moderator:
Hebu nifafanulie,ubinadamu ni nini?
Unataka twende kwenye lugha?! Anyway kuna mdau mmoja hapo juu amekueleza kuwa hata hizi reference za ubinadamu zinatokea kwenye mila na tamaduni ambazo zimelalia kwenye dini fulani, iwe ni za mizimu, mawe, uislamu, ukristo, ushinto na nyinginezo. Kwa hiyo utaona kuwa ukiondoa suala la moral code ambayo iko based kwa imani ya mungu (au wengine wanapenda kuita higher power) utaona kuwa hata uwezekano wa kukubaliana katika suala la ubinadamu ni mdogo sana kama sio haupo kabisa. Ni lazima tukumbuke kuwa bila kuwa na standard set of morality ubinadamu ni kama haupo. Ndiyo maana in 60's ushoga haukuwa ubinadamu duniani lakini leo watu wana-sympathize na mashoga, sababu ni lack of standard set of morality.
 
Back
Top Bottom