Likewise siku hiyo sababu yako ya ubinadamu ikiisha, hutakamatika au unadhani ubinadamu huwa hauishi??!!!Siku uoga ukiisha hautakamatika!
Nikumbushe Mito amri ya sita inasemaje vile?
usiziniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ahaa, kwa iyo we huogopi kuua ila unaogopa kuzini tu!
Uzinzi maana yake nini?
Unataka twende kwenye lugha?! Anyway kuna mdau mmoja hapo juu amekueleza kuwa hata hizi reference za ubinadamu zinatokea kwenye mila na tamaduni ambazo zimelalia kwenye dini fulani, iwe ni za mizimu, mawe, uislamu, ukristo, ushinto na nyinginezo. Kwa hiyo utaona kuwa ukiondoa suala la moral code ambayo iko based kwa imani ya mungu (au wengine wanapenda kuita higher power) utaona kuwa hata uwezekano wa kukubaliana katika suala la ubinadamu ni mdogo sana kama sio haupo kabisa. Ni lazima tukumbuke kuwa bila kuwa na standard set of morality ubinadamu ni kama haupo. Ndiyo maana in 60's ushoga haukuwa ubinadamu duniani lakini leo watu wana-sympathize na mashoga, sababu ni lack of standard set of morality.Hebu nifafanulie,ubinadamu ni nini?
Kwa iyo siku ukaambiwa hakuna sir god?Pamoja na ulizozitaja, mi namuogopa Mungu zaidi (naogopa kuvunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu)
Kwa iyo siku ukaambiwa hakuna sir god?