kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Gemu tulishanunua kelele unazoona watu wanajua tiyari kinachooonde kutokea ina maaana hujaona? Mipango ilishafanyika Ya kisiasa ndio maanaa tunasauti tunasubiria tu kuuza sura Kwa ushindisiwez ficha mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki tena sio kidogo ila nimekaa nimeangalia hili swala lilivyopelekwa sina wasi hii game tunafungwa tena nasema tunafungwa Tukutane hapa jukwaani jumapili jion
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukishinda pia Uje useme TULIPENDELEWA hutokosa UTETEZI nakujuasiwez ficha mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki tena sio kidogo ila nimekaa nimeangalia hili swala lilivyopelekwa sina wasi hii game tunafungwa tena nasema tunafungwa Tukutane hapa jukwaani jumapili jion
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu eti kamati hiyo ina watu kama huyu? Mbona tunaitukana nchi hii?Sina tatizo na hilo, ingawa hiyo ni perception tu..Binafsi mimi sijaona kuwa TFF ni tawi la CCM, ila ni kweli hao TFF nadhani wengi wao hawajui wanachofanya...Hawana mikakati, hawaangalii masuala ya michezo ...nadhani wapo kimaslahi zaidi..Yaani kumleta Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam eti kuwa mhamasishaji??? They are not serious at all...Yaani nimeangalia ile kamati ...nimeshanggaa...yaani eti hata...Mungu anisaidie nisitaje majina...sijui wanenguaji...sijui wengine ni watu wa kujikomba...yaani kimsingi hawana sifa kabisa...watu muhimu wa soka...kama akina Kibadeni, Kitwana na wengine kadhaa hawamo...Hivi kuhamasisha maana yake ni nini hasa??!! My God...Nimesoma leo mahali timu ya Arusha United imejitoa kwenye ligi daraja la kwanza kwa sababu ambazo ukizisikia kama ni za kweli zinatisha kabisa....Ligi Kuu iko raundi ya lala salama sina hakika kama Simba imeshacheza mchezo hata mmoja na Kagera au Mtibwa...Sina hakika kama Yanga imecheza hata mchezo mmoja na Azam...Ni ngumu kuielewa hali hii....Yaani wahamasishaji ni wanenguaji, na baadhi yao hata moral aspect haipo kabisa ndani ya jamii...Ni maajabu...Binafsi nilikuwa na nia kwenda kuishangilia Taifa Stars yetu..lakini siendi kabisa...ikishinda nitashangilia ikifungwa nitasikitika kama Mtanzania....Upo wakati mtu mmoja anaongoza mkoa wa Dar es Salaam Simba na Yanga wanacheza yeye anavaa T shirt ya timu mojawapo...dah ...
Mkuu eti kamati hiyo ina watu kama huyu? Mbona tunaitukana nchi hii?View attachment 1051871
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Bashite na timu yake washindwe na walegee hadi mwili mzima. Wapigwe matobo hadi walie damu za wale wanaopotea bila uchunguzi. Wapigwe hadi waseme walikuwa wanafanya Nini Dom wakati Lisu ananyeshewa mvua ya risasi!!!? Ndiyo matamanio yangu, mengine ataamua Muumba.Tuiombee tu timu yetu ya Taifa ishinde na kufuzu hiyo afcon. Ingawa natambua huo ushindi iwapo utapatikana, tutaambiwa ni kwa sababu ya mafanikio ya mtu fulani pasipo kuwapa heshima wanaostahili (wachezaji na benchi la ufundi). Kila kitu tunatanguliza siasa tu na siyo uzalendo.
I thin you may have a point hereKamwene,kinacho pelekea kushindwa nini timu mbovu au kamati ya uhamasishaji ndio le laana de bashite.
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.
Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.
Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
huyu jamaa anajipendekeza hadi huwa anaboa sasa