Mbona watanzania wameshaliona hilo angalizo kitambo ndio maana huoni mzuka...wamejazana mle wanalumumba watupu..ni bahati mbaya Rais wa TFF nae ni kibaraka wa lumumba na mbaya zaidi hanaga USHAWISHI wowote katika soka letu...kwa walivyokosea kujazana humo kwenye kamati tusitegemee kuona hamasa yoyote au kujaa uwanja jumapili...
Kazi kweli kweli.........sijui tulikuwa wapi tangu mwanzo mechi ile ya Lesotho chamazi.....Tz tunapenda sana zima moto na shortcut,saiz tunaomba tushinde eti tunawaombea Lethoto wapigwe...Tz buana
Niwe muwazi tu mapema......Mimi nashabikia Uganda, Naomba uganda ipige Tz 3-0, ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu
ukimuona DAB kumbuka ya mkuu wetu wa TFF aliyo yasema pale Arusha baada ya mkutano alipokuwa anamzungumzia Michael Richard Wambura...
then Unganisha dot
Tuiombee tu timu yetu ya Taifa ishinde na kufuzu hiyo afcon. Ingawa natambua huo ushindi iwapo utapatikana, tutaambiwa ni kwa sababu ya mafanikio ya mtu fulani pasipo kuwapa heshima wanaostahili (wachezaji na benchi la ufundi). Kila kitu tunatanguliza siasa tu na siyo uzalendo.
Halafu ana gundu anaweza sababisha timu ikafungwahuyu jamaa anajipendekeza hadi huwa anaboa sasa
Tena magoli yakutosha
Hutaki tunywe balimi za mafungu!siwez ficha mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki tena sio kidogo ila nimekaa nimeangalia hili swala lilivyopelekwa sina wasi hii game tunafungwa tena nasema tunafungwa Tukutane hapa jukwaani jumapili jion
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi tayari nimeshakubali kujiunga na kamati ya "saidia Uganda ishinde vs Taifa Stars" kutokana na huu utoto wa hawa walioteuliwa kuhamasisha taifa stars.
hii inatosha kuthibitisha usahihi wa takwimu za UN zinazoi rank Tanzania as one of poorest countries kwenye "happiness index" duniani.
mimi ni mtanzania ila jumapili ntashabikia Uganda siwezi kuhamasishwa kuishangilia taifa staz na kina bashite na lumumba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena bila majiKichwa cha Mwendawazimu lazima kinyolewe
Na tukifungwa huyu makonda awajibikeKitendo cha makonda kuwa mwenyekiti tayari tushafungwa huyu amejaa gundu tupu...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mungu saidia haki ya mungu Tz tufungwe bao zitakazofanya tujifunze Kuchukulia mambo kwa uzito badala ya watu kujitafutia umaarufu wa kijingaNasimama na Tanzania kama mtanzania.
MUNGU ibariki Tanzania,
MUNGU ibariki Taifa stars.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mitanzania inazungushwa kama saa!
Tumeacha ya Maalim Seif na safali hii tuko kwenye mpira!
Shikamo wana kitengo
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye mambo muhimu kama haya viongozi wa upinzani huwa hawaonekani wanaonekana kwenye kulaumu tu..