Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Tufungwe tu
Mbona watanzania wameshaliona hilo angalizo kitambo ndio maana huoni mzuka...wamejazana mle wanalumumba watupu..ni bahati mbaya Rais wa TFF nae ni kibaraka wa lumumba na mbaya zaidi hanaga USHAWISHI wowote katika soka letu...kwa walivyokosea kujazana humo kwenye kamati tusitegemee kuona hamasa yoyote au kujaa uwanja jumapili...

In God we trust
 
Hapo ni dua ya kutolewa tu
Kazi kweli kweli.........sijui tulikuwa wapi tangu mwanzo mechi ile ya Lesotho chamazi.....Tz tunapenda sana zima moto na shortcut,saiz tunaomba tushinde eti tunawaombea Lethoto wapigwe...Tz buana

In God we trust
 
Dawa yao ni kuwasusia hapo uwanjani tuishangilie Uganda maana Afrika ni moja
mkuu
ukimuona DAB kumbuka ya mkuu wetu wa TFF aliyo yasema pale Arusha baada ya mkutano alipokuwa anamzungumzia Michael Richard Wambura...

then Unganisha dot

In God we trust
 
Kwa kuwa dab ameingilia hii mechi matokeo yatakuwa ts 1 Uganda 3 katika dakika ZISIZOJULIKANA kama dakika 2 ts 1 dakika 85 Uganda wanarudisha 1 dakika ya 87 Uganda inampiga dab la 2 na dakika 89 dab anashindiliwa goli la 3 ndio dab atajuwa kumbe Karanga na muhogo zinafanya nguvu iongozeke uwanja was 60,000 kwa nil
 
Labda uishangilie wewe na ukoo wako
Tuiombee tu timu yetu ya Taifa ishinde na kufuzu hiyo afcon. Ingawa natambua huo ushindi iwapo utapatikana, tutaambiwa ni kwa sababu ya mafanikio ya mtu fulani pasipo kuwapa heshima wanaostahili (wachezaji na benchi la ufundi). Kila kitu tunatanguliza siasa tu na siyo uzalendo.

In God we trust
 
Cc:wakudadavua
mimi tayari nimeshakubali kujiunga na kamati ya "saidia Uganda ishinde vs Taifa Stars" kutokana na huu utoto wa hawa walioteuliwa kuhamasisha taifa stars.

hii inatosha kuthibitisha usahihi wa takwimu za UN zinazoi rank Tanzania as one of poorest countries kwenye "happiness index" duniani.

In God we trust
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mitanzania inazungushwa kama saa!

Tumeacha ya Maalim Seif na safali hii tuko kwenye mpira!

Shikamo wana kitengo

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha utoto boss, kwahiyo utajadili siasa tu hakuna mambo mengine? Huo mpira haupo kweli mpaka uongee kama n jambo la kutunga?
 
kwenye mambo muhimu kama haya viongozi wa upinzani huwa hawaonekani wanaonekana kwenye kulaumu tu..

Viongozi wa upinzani hawana kimbelembele, hicho kiherere kiko huko ccm. Wanachofanya hao viongozi wa ccm ni kutaka kunenepeshea ng'ombe mnadani. Ni lini waliwahi kusaidia michezo?
 
Back
Top Bottom