Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

He mmeona jezi za msalaba. Hiyo taifa stars ni ya wakristo wa mslaba tu. Naomba jezi zibadilishwe
 
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.

Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.

Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Wauaji wamejificha kwenye timu ya taifa. Mungu anaona mikono yao ilivyo jaa damu za watanzania wenzao kwajili ya kujiimarisha katika madaraka. Najisi hii Mungu haridhiki nayo kamwe. Atawaharibu siku moja wao pamoja na wanao waunga mkono. Tuwe waangalifu katika hili, tutalia sikumoja hasira za Mungu zitakapo fanya kisasi juu ya damu zilizo mwagika. Jiepushe ndugu usije ingia kwenye mtego wa shetani. Wakala wake akina DAB wapo making kuwateka watu wa Mungu wapate kuangamia nao.
 
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.

Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.

Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.

Hakuna kitu anachofanya Bashite akafanikiwa.

Kama Bashite ndo mwenyekiti wa kama ya ushindi ya T/stars basi jua jwamba TUMESHAFUNGWA tayari.

Tufungwe tu tuwe na amani
 
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.

Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.

Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Imekuwa ya kanisa, nchi hii inaongozwa na kanisa
FB_IMG_1553337201849.jpeg
FB_IMG_1553337201849.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom