Wewe mrundiNiwe muwazi tu mapema......Mimi nashabikia Uganda, Naomba uganda ipige Tz 3-0, ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ruhusa anatoa nani? Hao wengine watakoshiriki umejiridhisha hakuna wanafiki?
Sio rizikihuyu jamaa anajipendekeza hadi huwa anaboa sasa
Tukutane jpili jionSi kila jambo ni kukosoa hekima na busara ndio direction ya maisha please ndugu jitakari na uwe na akiba ya maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mwenyew anajua hatuwez kushinda ndo mana akatoa promotion hiyoHutaki tunywe balimi za mafungu!
mumpige mganda nyie labda awapangie kikosi cha tatu pale taifaTukishinda pia Uje useme TULIPENDELEWA hutokosa UTETEZI nakujua
nasikia waganda wanataka kupanga kikosi cha tatuGemu tulishanunua kelele unazoona watu wanajua tiyari kinachooonde kutokea ina maaana hujaona? Mipango ilishafanyika Ya kisiasa ndio maanaa tunasauti tunasubiria tu kuuza sura Kwa ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wauaji wamejificha kwenye timu ya taifa. Mungu anaona mikono yao ilivyo jaa damu za watanzania wenzao kwajili ya kujiimarisha katika madaraka. Najisi hii Mungu haridhiki nayo kamwe. Atawaharibu siku moja wao pamoja na wanao waunga mkono. Tuwe waangalifu katika hili, tutalia sikumoja hasira za Mungu zitakapo fanya kisasi juu ya damu zilizo mwagika. Jiepushe ndugu usije ingia kwenye mtego wa shetani. Wakala wake akina DAB wapo making kuwateka watu wa Mungu wapate kuangamia nao.Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.
Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.
Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Usilete hizo, za kimujahidina. Sio mashariki ya kati hapa.
Nitaandika barua CAF kwa kupanga matokeo
....Tena magoli yakutosha
In God we trust
Uliambiwa ukishangilia ndio utashinda... kerb kweli wewe...Very sad, lakini tutashinda hata usiposhangilia!
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.
Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.
Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Mimi team Lethoso.Kwanza Stars yenyewe ipo nje mpaka sasa
Kaja kutia gundu tu.Hakuna kitu anachofanya Bashite akafanikiwa.
Kama Bashite ndo mwenyekiti wa kama ya ushindi ya T/stars basi jua jwamba TUMESHAFUNGWA tayari.
Tufungwe tu tuwe na amani
Imekuwa ya kanisa, nchi hii inaongozwa na kanisaHeshima kwenu wanajamvi.