Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Kichekesho kingine,rais wa tff ni mjumbe,wakati yeye ndiye alipaswa awe mwenyekiti,bora asingekuwemo kwenye hiyo kamati

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yani hawa bwana. Mbona hawasomi alama za nyakati! Watanzania hawahamasishwi tena huko mipirani, wala kwa Lowassa kurudi CCM.. Watu wana maisha magumu jamani, hakuna kinachoshikika huko mitaani. Kila kona ni pagumuu. Hili ndilo litalowatoa madarakani watu fulani hiyo 2020. Na wala hakuna mtu wa TFF, Lowassa na familia yake, waigiza movies za kibongo, etc.. wataweza kusaidia. [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Upuuzi mtupu, hama nchi kama uko na Rais wako tofauti na Magufuli mfuate hukohuko, Tanzania iko na mkuu wa nchi mmoja tu, anayehisi kumtambua ni kuligawa Taifa ahame nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi mtupu, hama nchi kama uko na Rais wako tofauti na Magufuli mfuate hukohuko, Tanzania iko na mkuu wa nchi mmoja tu, anayehisi kumtambua ni kuligawa Taifa ahame nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Msomali aliyepewa kuongoza Federation yetu ya Mpira ni Boya sana

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Hakuna siku nilifurahi kama Simba kufungwa na Kagera mbele ya Jiwe.. Nilimuonya Manara kuhusu kuingiza siasa kwenye mpira tena nikamwambia analeta nuksi.. Hili la Uganda tumewaleta watu walio na najisi matokeo yake tutayapata.. Mimi nitakuwa huko kwenye pori.la akiba Mkungunero nikila kwelea kwelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…