Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Mkuu tuipende nchi yetu tuiombee stars ishinde lkn next time wasituwekee watu kama Makonda kuongoza taifa, nasikia alijipendekeza tu.

kama ulivyosema wasithubutu kuongea na Uganda kuhusu kupanga matokeo, athari zake ni mbaya sana kwa soka letu. Kipindi hiki CAF bila kuwasahau FIFA wanafuatilia nyendo zote hasa za wajumbe wa kamati ndani na nje ya nchi, niwakumbushe ni juzi tu refa wetu wa FIFA Orden Charles Mbaga amefungiwa maisha kwa kupanga matokeo.
 
comments za kitoto mno toka kwa bavicha.
 
Sawa Mkuu nimekupata vema.
 
Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie
 
Mimi nimeshakwazika naenda kuishangilia Uganda,tumechoka upuuzi wa kuleta siasa uchwara.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie
Pumbavu wewee..
Kwa taarifa yako Bashite anachukiwa na Watanzania wengi tu CCM wakiwemo..
Nani anaweza kuishi na takataka inayonuka damu za watu..??
Acha kuficha maovu ya huyu mtu kwa kivuli kwamba anachukiwa na CHADEMA tu.
 
Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie

Mpumbavu ni wewe na genge la majuha wenzako hapo Lumumba, pumbavu kabisa.
 
Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie
Mimi sina chama chochote ila siwezi shangilia taifa stars inayofanyiwa hamasa na wakina sepetu.... Na ninaomba kwa mungu taifa stars ipigwe magoli ya kutosha ili tuachane na tabia ya kuzima moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cranes piga hao wauza sura 5-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…