Angalizo: Msisahau kwamba siku chache zijazo Al Ahly atarudi tena Kwa Mkapa

Hivi kweli unafurahia hii draw kwa mkapa na Al Ahal ikiwa mna mechi ya marudiano kwao 'Masri'? Kabisa yaani?
Yap,,sifurahii draw bali nasikitika kumkosa Ahly kwa Mkapa yani kaponea chupuchupu zilikua zinagonga mwamba.

draw ni hatua pia hasa ukizingatia Al Ahly ni timu kubwa.matoeo ya leo yamewauma sana Utopolo waliotabiri Simba itafungwa hii mechi.
 
Kvp yatuume sisi ndo wenye timu au nyinyi wenye timu mbona umeanza kwa kujutia hiyo droo
 
Ndio Simba kapata goli mbili,inamaana Al ahly wanaruhusu magoli,Wangeruhusu goli moja tungesema Simba kabahatisha, lakini goli mbili wameruhusu na pia Simba akosa magoli mengine ya wazi.

inamaana Al ahly nao pia wanamadhaifu yao.
kama hukucheza mpira ulikua mchunga ng'ombe uwezi kuelewa nacho maanisha.
 
Kvp yatuume sisi ndo wenye timu au nyinyi wenye timu mbona umeanza kwa kujutia hiyo droo
Tunajutia draw kwasababu kuna muda tulikua tunaongoza goli mbili.ilipaswa tulinde ushindi.umewai kucheza mpira lakini,au ulikulia kuchunga ng'ombe kijijini?.

Mnaumia nyinyi kwasababu mlitaka tufungwe,soma hapa
👇
Kvp yatuume sisi ndo wenye timu au nyinyi wenye timu mbona umeanza kwa kujutia hiyo droo
 
Yap,,sifurahii draw bali nasikitika kumkosa Ahly kwa Mkapa yani kaponea chupuchupu zilikua zinagonga mwamba.

draw ni hatua pia hasa ukizingatia Al Ahly ni timu kubwa.matoeo ya leo yamewauma sana Utopolo waliotabiri Simba itafungwa hii mechi.
Aliyeponea chupuchupu ni simba au Al ahly?

Uliyaona yale magoli 2 waliyokosa waarabu mwishoni?
 
..Nisome mimi ndo nilio andika mbona hauna akili wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…