Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Yap,,sifurahii draw bali nasikitika kumkosa Ahly kwa Mkapa yani kaponea chupuchupu zilikua zinagonga mwamba.Hivi kweli unafurahia hii draw kwa mkapa na Al Ahal ikiwa mna mechi ya marudiano kwao 'Masri'? Kabisa yaani?
draw ni hatua pia hasa ukizingatia Al Ahly ni timu kubwa.matoeo ya leo yamewauma sana Utopolo waliotabiri Simba itafungwa hii mechi.