Angalizo: Style ya Mbwa 'doggy style' yadaiwa kusababisha Kansa na Presha

Angalizo: Style ya Mbwa 'doggy style' yadaiwa kusababisha Kansa na Presha

mambo ya kuleteana nyege usiku huu sio mazuri
Za j2
Bwana Yesu Asifiwe Sana Wapendwa?!

Nadhani mtakuwa mmesikia kwemye Tv, Redio, Youtube au mmesoma kwenye Mitandao yote kuwa style ya Mbwa au Doggy Style inaleta Kansa name presha ya kupanda

Ndio uchunguzi umefanyika miaka 3 iliopita kuwa staili ya Mbwa inaleta Kansa kwasababu:

1. Mwanamke anapoinama vishipa vya miguu upande wa nyuma vinakazwa.. sasa ukianza kupampu unavipa kazi mara 2

2. Mwanaume anatumic nguvu nyingi kupampu kwahiyo inamfanya kuhema na mapigo ya moyo kupiga kupita kiasi

Kwahiyo Punguzeni Staili ya Mbwa jamaa muokoke na magonjwa ya Kansa na Presha

Ni hayo tu kwa leo: maelezo zaidi yako kwenye video



mahondaw Smart911 lara 1 Money Talk Ngosha Mashine Daby mpoo?!
 
Future Prostate cancer on the Beat
Haya bana ILA kwa Mimi Naona haina madhara ILA tatizo ni watu kuingia sehem siziso husika. Kama MTU unafanya njia ya kawaida mradi tu hamuumkzani basi hamna madhara. Hata kidini pia. Wengi wanaenda njia zisizotakiwa. Trust me Money Penny
 
  • Thanks
Reactions: lup
Za j2
Bwana Yesu Asifiwe Sana Wapendwa?!
Mkuu Money Penny usiwe unalitumia hili jina BWANA katika "threads" zako za ngono. Hili jina lina maana kubwa sana kwetu sisi na wengine wote wanaoelewa maana yake. Jitahidi uwe na heshima juu ya jina hili. Hili jina YESU KRISTO ni jina, juu ya majina yote, ni jina ambalo ukilitaja linaokoa na kuponya. Lipe heshima yake tafadhali.
 
Soma na hii
Hata mie naweza weka picha ya waziri wa afya ummy mwalimu nikaweka maneno "upigaji wa katerero unasababisha tezi dume" waziri wa afya wa tanzania aonya.tafiti za kisayansi zina taratibu zake,epuka kuamini kila unalosoma mitandaoni,eti kwa sababu umeambiwa flani kasema,pendelea kutafuta proof.
 
Back
Top Bottom