Angalizo: Style ya Mbwa 'doggy style' yadaiwa kusababisha Kansa na Presha

Angalizo: Style ya Mbwa 'doggy style' yadaiwa kusababisha Kansa na Presha

Hahaha
Sorry au sory? !
Nadhani inategeme hiyo mbwa style umemuweka vipi... kama ni sakafuni atapata hadi pneumonia...

Ukimuwekea mto chini ya tumbo, akawa style ya mbwa ila kalalia mto ni bora zaidi, na godoro likiwa la kunesa mbona kiulani sana anadunda mwenyewe kama kitenesi wakati unapump...


Cc: mahondaw
Mkuu uko vzr hivi hii kozi ulisoma kwa muda gani
 
Style nzur sana hii, usiite ya mbwa , unainyima hadhi, iite Dog style...

Atalalia mto , hatainama sana...
 
Za j2
Bwana Yesu Asifiwe Sana Wapendwa?!

Nadhani mtakuwa mmesikia kwemye Tv, Redio, Youtube au mmesoma kwenye Mitandao yote kuwa style ya Mbwa au Doggy Style inaleta Kansa name presha ya kupanda

Ndio uchunguzi umefanyika miaka 3 iliopita kuwa staili ya Mbwa inaleta Kansa kwasababu:

1. Mwanamke anapoinama vishipa vya miguu upande wa nyuma vinakazwa.. sasa ukianza kupampu unavipa kazi mara 2

2. Mwanaume anatumic nguvu nyingi kupampu kwahiyo inamfanya kuhema na mapigo ya moyo kupiga kupita kiasi

Kwahiyo Punguzeni Staili ya Mbwa jamaa muokoke na magonjwa ya Kansa na Presha

Ni hayo tu kwa leo: maelezo zaidi yako kwenye video



mahondaw Smart911 lara 1 Money Talk Ngosha Mashine Daby mpoo?!
Kwenda huko!
 
Back
Top Bottom