Angalizo...tunapochagua...

Muhimu sana aisee

sasa hiyo namna ya kugundua kuwa huu mshobobo ndo unaokufaa,
sijui utatumia njia gani kwasababu huwezi ukaziona barabarani tu!!!!!!!
hebu nieleze DA, mpaka uje upate ule unaokufaa, utafanyaje?
 
kitu nashkuru mungu umejaliwa vitu vingine vya thamani zaidi ya huo ugudluking anaosisitiza pauline,kwa hiyo kuchaguliwa hapana shaka

Nina bahati wangu gudluking na huko 6x6 kwa bacha yuko poa pia
 
sasa hiyo namna ya kugundua kuwa huu mshobobo ndo unaokufaa,
sijui utatumia njia gani kwasababu huwezi ukaziona barabarani tu!!!!!!!
hebu nieleze DA, mpaka uje upate ule unaokufaa, utafanyaje?

Kwasasa kazi hiyo mie nishaimaliza sawa??

Na bahati yangu kuwa ni gudliking na huko chini ya kitovu yoko poa
 
Angalizo kwetu wadada, unaweza kukaa na kusubiri good looking mwisho wa siku ukajikuta unazeeka na humpati good looking, mwisho utaanza ooo nina mkosi kumbe mkosi uliuleta mwenyewe,na good looking nyingi ni vimeo.
 
hivi dena badluking na gudluking tunamtofautishaje?ww tu ndo niliweza kutambua,,,lol

Unajua sana acha kuniyeyusha ni kama yulee O... alivyo ndo badluking na yule wangu A... ndo goodluking una swali lingine??
 
vile umeambiwa ww ni gudlukin hakuna haja ya kuombwa radhi maana umesifiwa
hehehe namsubiria WOS adondoshe madongo, naona tayari ameweka intavyuu fupi kwa mleta mada. yaani anasema sisi sura mbovu tunaharibu reception ya watoto na tunasababisha bullying shuleni?. dah! mungu atatulipia bana!
 
mie sio mtaalam wala msomi,naombeni mtupe darasa kwa manufaa ya wote wenzangu kama mie,epecially hapo uliposema genetics zinaweza zikajump generations,nifafanulie plz......
kwa uelewa wangu wa kungalia yanayojiri ulimwenguni,wataalamu wengi wameanza kulink obesity na genetics ingawa haijawa proved but its my understanding studies bado zinaendelea...
 
hehehe namsubiria WOS adondoshe madongo, naona tayari ameweka intavyuu fupi kwa mleta mada. yaani anasema sisi sura mbovu tunaharibu reception ya watoto na tunasababisha bullying shuleni?. dah! mungu atatulipia bana!
Mkuu mimi nina uhakika wa kutoa kitu ambacho hakihitaji kuthibitishwa na TBS au kuwekewa ISO
 
hehehe namsubiria WOS adondoshe madongo, naona tayari ameweka intavyuu fupi kwa mleta mada. yaani anasema sisi sura mbovu tunaharibu reception ya watoto na tunasababisha bullying shuleni?. dah! mungu atatulipia bana!

umeona eeeeh?
 
Unajua sana acha kuniyeyusha ni kama yulee O... alivyo ndo badluking na yule wangu A... ndo goodluking una swali lingine??

tafadhali usikwepe swali,,nieleweshe kama vp niitie pauline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…