Hope Genetics was that Kind...., Unene sio genetically..., pia mimi naweza nikawa na pua nzuri ndefu lakini ikichanganyikana na yako bapa ikapatikana kitu tofauti.., Genetics pia zinaweza zikajump generations..., ndio maana unaona mtu anafanana na babu zake..., pia unaweza Also Big ears might look good on someone.., mfano imagine Obama na small ears.
All in all nikipata Msichana mrembo tashukuru sana ila kwanza taangalia tabia za huyo mama na malezi yake kwa wanangu nisije nikapata vi-handsome boys na vi-beautifull girls vyenye tabia za ajabu au nilivyovilea peke yangu sababu ya kudivorce na mama yao..