Angalizo...tunapochagua...

Angalizo...tunapochagua...

ukweli,mie siwezi nikaprove ila ukiwa na hizi features utaonewa sana mashuleni kwenye playground nk....
ila nimeanza kuamini,kuwa hujiamini au na wewe una mpua mkubwa kweli???LOL:laugh::laugh:

mi sina mpua mkubwa,
ila dhakari yangu ipo imara,sasa sijui kama hiyo nayo ni kasoro Pauline?
na hilo ndo la msingi!!!!!
 
sawa pauline,,,lkn bad looking kama yupo atachaguliwa na nani?
 
Nimetoa mfano.

Ndo nakwambia mie siwezi kuchagua sura kama yako you are not good looking. Full Stop

utatafuta hizo good looking na usipate,
wewe bora ujilete kwangu tu nikupe hiyo raha ya milele!!!!!!!!
 
karibu DA,naona hukwenda mbali LOL

Niende wapi na Bacha ananiletea mchezo hapa.

Eti tusichague kisa nini unakwenda na mtu out huku unaona aibu

Unamwambia nakuja darling tangulia tu, mkifika unakaaa meza moja lakini mbaliii kama hamjuani

Nani anataka mambo hayo hata kusema this is my huby unaogopa aakkk mwaya kuchagua muhimu eeh
 
sawa pauline,,,lkn bad looking kama yupo atachaguliwa na nani?

wiselady, bad looking ndo ipi hiyo jamani,
sote tumeumbwa kwa sura na mfano wa mwenyezi mungu jamani!!!!!
 
utatafuta hizo good looking na usipate,
wewe bora ujilete kwangu tu nikupe hiyo raha ya milele!!!!!!!!

Huwezi nipa raha wewe hata kidogo toka hapa si ni wewe siku ile ulikuwa unasema una kibamia na unajua kukitumia vyema??

Mie nataka aaaiii
 
Hope Genetics was that Kind...., Unene sio genetically..., pia mimi naweza nikawa na pua nzuri ndefu lakini ikichanganyikana na yako bapa ikapatikana kitu tofauti.., Genetics pia zinaweza zikajump generations..., ndio maana unaona mtu anafanana na babu zake..., pia unaweza Also Big ears might look good on someone.., mfano imagine Obama na small ears.

All in all nikipata Msichana mrembo tashukuru sana ila kwanza taangalia tabia za huyo mama na malezi yake kwa wanangu nisije nikapata vi-handsome boys na vi-beautifull girls vyenye tabia za ajabu au nilivyovilea peke yangu sababu ya kudivorce na mama yao..
 
Niende wapi na Bacha ananiletea mchezo hapa.

Eti tusichague kisa nini unakwenda na mtu out huku unaona aibu

Unamwambia nakuja darling tangulia tu, mkifika unakaaa meza moja lakini mbaliii kama hamjuani

Nani anataka mambo hayo hata kusema this is my huby unaogopa aakkk mwaya kuchagua muhimu eeh

kumbe ile falsafa ya vidumu vitatu,
hapa ndo ina apply kwa sana eeeeee? lol...
 
Huwezi nipa raha wewe hata kidogo toka hapa si ni wewe siku ile ulikuwa unasema una kibamia na unajua kukitumia vyema??

Mie nataka aaaiii

kumbe kwenye kuangalia good looking mnaangalia na mshobobo eeeeh?
 
wiselady, bad looking ndo ipi hiyo jamani,
sote tumeumbwa kwa sura na mfano wa mwenyezi mungu jamani!!!!!

bacha mi mwenyewe sijui ndo maana nikasema kama yupo!nway unaweza ukaangalia hiyo factor moja mwisho wa cku ukaweka mikono kichwani
 
hii sredi ni ya kibaguzi, niombeni razi kabla sijareport abuse
 
Ha ha ha umenichekesha mpaka nimecheka kwa nguvu nikaangukia na key board

kitu nashkuru mungu umejaliwa vitu vingine vya thamani zaidi ya huo ugudluking anaosisitiza pauline,kwa hiyo kuchaguliwa hapana shaka
 
mambo JF...

Nimesikia tu sina uhakika na hili,kuwa moja ya sababu zinazofanya watoto kuwa bullied mashuleni ni kutokana na kuwa na facial features ama maumbile yaliyo tofauti kidogo,kwa mfano masikio makubwa,lol pua ndefu ama unene uliozidi...

nilikuwa natoa tu angalizo kwa wana JF wenzangu tunapochagua wenzi wa maisha then,tuhakikishe tunachagua mbegu iliyo bora lol,go for someone who is really good looking ili hata watoto watakaozaliwa nao watoke wazuri kua void bullying........

msinishushue mie nimesikia tu..:msela::msela::msela:

Pauline dear,
Samahani usione nakushushua..hapana.Ni katika kusaidiana tu:
1. Kigezo cha good looking ni nini?
2. Ulisoma biology angalau kidgo? Unaelewa mambo ya genetics au nasaba?

Nijibu haya mawili halafu tuendelee.
Asante na samahani kama nimekukwaza.
 
Back
Top Bottom