Angalizo: UDSM imeanzisha College ya Kilimo na Uvuvi

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
UDSM wameanzisha College of Agriculture Sciences and Fisheries Technologies (CoASFT), na inaonyesha watakuwa wanatoa digrii nyingi zinazotolewa na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro.

Nakumbuka, katika miaka ya 2007 UDSM ilianzisha Course ya Food Science kule CoET na ilikufa naona baada ya contents za course kukosa hazina applications katika ulimwengu wetu, Tanzania.

Sasa, wameanza na course nyingi zaidi.

Je tutalajie nini katika elimu ya Tanzania na mnaoneje wandugu.

 
vizuri,maana kilimo na uvuvi hatuna wataalamu wa kutosha,mimi naona bora wameanzisha,sio kila mtu asome computer science tu
 
pia wanajenga jengo la health scence so probably this year wataanzisha M.D
 
MD...!? u cnt be serious.. kiukwel md inahitaj kujipanga.. co kirahisi hvo

unajua kijana usipinge kitu ambacho hukijui,mimi najua ndio maana nimekwambia,udsm wanataka kuanzisha doctor of medicine,na mshkj wangu ndio alikua anasimamia hio project na alikua anakwenda muhimbili ili kuangalia some design ya vyumba vya practical vya muhimbili,na hilo jengo mimi nalijua kama pesa,so plz usipinge kitu usichokijua
 
Hapo tutarajie SUA kufa kibudu. vijana wengi watakimbilia UDSM chuo bora E and C Africa
 
Anyway inatakiwa SUA wajipambanua. Nasikia walitaka kujitanua zaidi kwenye kozi zingine nadhani Agricultural Economic walitaka wawe Faculty. Sasa waangalie sana kwa miaka hii.

Hata hivyo naona UDSM watakuwa wazuri sana kwa Agr. Engineering na Economics.

Hapo tutarajie SUA kufa kibudu. vijana wengi watakimbilia UDSM chuo bora E and C Africa
 
Hii mimi sijaipenda, kwani SUA inaweza kupotea, nashauri serikali ilipinge hili
 
Kwa nyie vijana wa jana chuo kikuu cha muhimbili kilikuwa faculty ya udsm hapo mwanzo
 
mkuu hiyo link ni scholarship ya kwenda kusoma china na sio kuanzisha M.D

umeisoma vizuri hio scholarship?nhoja nikucopie na kuapaste ndio utaelewa..
Eligibility Criteria:
i. Be citizens of the United Republic of Tanzania
ii. Holder of Doctor of Medicine (MD), Bachelor of Medicine/Bachelor of Surgery (MB ChB) or equivalent.
iii. Have obtained his /her first degree not more than 8 years ago.
iv. Be willingly to work at the University of Dar es Salaam as a tutor after completion of his/ her studies and obtained the minimum qualifications to be retained as an academic member of staff.
soma hicho kipengele cha iv ndio utajua wamekusudia nini,mm hadi jengo nimeshaliona ambalo wanajenga,au ulikusudia huyo tutor wanataka akafundishe COET?
 
Ebu kwa anaejua kozi zitakazokua zinatolewa kwenye hiyo college mpya atuwekee hapa ili tuweze kuona kama tunaweza kuwashauri wadogo zetu wazisome?
 
Mi naona itakua vizuri sana asee, hii ni habari njema sana. Na sidhani kama SUA itakufa kibudu bali itakua katika ushindani mkubwa ambao utakua na faida kubwa kwa walengwa wanaotarajia kusoma katika ivyo vyuo.
Maana hili sio jambo jipya kwa SUA maana hata St. Joseph ya SOngea ilishaanzisha COURSE za KILIMO, saut MWANZA pia walikua na mpango huo japo sina uhakika kama wameshaanzisha.
ILA NILIPENDA KUFAHAMU, JE WATAANZA KUPOKEA WANAFUNZI MWAKA GANI? MWAKA HUU AU? TUJUZANE WADAU.
 
MD...!? u cnt be serious.. kiukwel md inahitaj kujipanga.. co kirahisi hvo

hahaa watu mnaongozw na hisia sana.
vipi kama hiyo ni achievement ya plans ya miaka kumi iliyopita?
 
Wanaongeza college, hao wanafunzi watalala wapi? Kwanin wasiongeze na hostels za wanafunzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…