Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
UDSM wameanzisha College of Agriculture Sciences and Fisheries Technologies (CoASFT), na inaonyesha watakuwa wanatoa digrii nyingi zinazotolewa na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro.
Nakumbuka, katika miaka ya 2007 UDSM ilianzisha Course ya Food Science kule CoET na ilikufa naona baada ya contents za course kukosa hazina applications katika ulimwengu wetu, Tanzania.
Sasa, wameanza na course nyingi zaidi.
Je tutalajie nini katika elimu ya Tanzania na mnaoneje wandugu.