Angalizo: UDSM imeanzisha College ya Kilimo na Uvuvi

Angalizo: UDSM imeanzisha College ya Kilimo na Uvuvi

kaka tzhumoally embu tujuze mkuu mwaka huu watachukua first intake Md hapo UDSM?
 
Mkuu mbona collage ya agriculture siioni kwenye web , naona kauli ya profesa tu ikisisitiza kuanzisha mwaka huu ila hawaja ruhusu kuiomba.KAMA NIMEONA VIBAYA AU TOFAUT MSAADA
 
Hapo tutarajie SUA kufa kibudu. vijana wengi watakimbilia UDSM chuo bora E and C Africa

SUA haiwezi kufa kibudu, itatatakiwa ijipange kwani monopoly yake kwa program kadha za kilimo kama Agricultural Economics itapotea (Both UDSM and Mwl JKN University of Agriculture zinaingia sokoni). Ni maendeleo mazuri na yataleta ushindani zaidi. I am sure SUA is up to the challenge ingawa staffing yake inaweza kutetereka in some areas as some staff may move to the new institutions or may undertake part-time jobs in the same. There is also a talk of a new University of Agriculture in Katavi. Choice kwa vijana zitaongezeka.
 
Unapokuwa na watu wakufanya hiyo kazi maana yake college ipo tayari, kinachosubiriwa ni mambo madogo sana. Sana sana mwaka huu wanachukuwa wanafunzi kwa sababu huu ni mchakato na watakuwa wameanda mtaala wa kufundishia na
Mkuu mbona collage ya agriculture siioni kwenye web , naona kauli ya profesa tu ikisisitiza kuanzisha mwaka huu ila hawaja ruhusu kuiomba.KAMA NIMEONA VIBAYA AU TOFAUT MSAADA
 
Hii mimi sijaipenda, kwani SUA inaweza kupotea, nashauri serikali ilipinge hili
Kama SUA itapotea, itapotea tu kwa sababu kama ina weak genes/constitutions, kumbuka Darwin na "survival of the fittest"
 
Unapokuwa na watu wakufanya hiyo kazi maana yake college ipo tayari, kinachosubiriwa ni mambo madogo sana. Sana sana mwaka huu wanachukuwa wanafunzi kwa sababu huu ni mchakato na watakuwa wameanda mtaala wa kufundishia na

Unataka kuniambia wameanza kupokea mwaka huu kwa kozi za kilimo? na ni kozi gani hiyo? nijuze tafadhali. . !!!
 
Wanaweza wakachukuwa Food science and technology, Entomology, Agricultural economics and Agricultural Engineering. nadhani kuna kozi wanaita apiculture ni ufugaji nyuki.

Zaidi tusubiri

Unataka kuniambia wameanza kupokea mwaka huu kwa kozi za kilimo? na ni kozi gani hiyo? nijuze tafadhali. . !!!
 
Kwa kuangalia huwezi juwa, prefereces zitakuja baadaye sana. Najua kozi kama wild life na environmental zimekuwa zinatolewa na vyuo vyote, ila SUA ina nguvu zaidi.

Kama SUA itapotea, itapotea tu kwa sababu kama ina weak genes/constitutions, kumbuka Darwin na "survival of the fittest"
 
Back
Top Bottom