Habarini wakuu!
Ndugu abiria mnaotumia mwendokasi kuwa makini, kuna baadhi ya wanaokatisha tiketi kwenye vituo siyo waaminifu, wanauza tiketi iliyokwisha tumika tayari na wengi wetu hatuangalii muda!
Wanachofanya baada ya kumpa pesa ni kujifanya kutoa tiketi na kuichana, kumbe ana tiketi yake ameshaiandaa (mara nyingi wanafanya haya kuanzia jioni).