Angalizo: Usitaje jina lako halisi kwa Madanga ya Morogoro mjini

Angalizo: Usitaje jina lako halisi kwa Madanga ya Morogoro mjini

Malaya ni hatari sana na washirikina sana ata shanga zao wengi wanazovaa ukiigusa tu wakati wa sexy utakuwa unamchukua yeye tu , na kulala na malaya unabadilishana roho ya ukahaba na umalaya na inakuingia na kuacha ni ngumu sana, mi kuna malaya nafsi yangu na yake zishakuwa kama moja kuna muda ananipigia hadi simu eti amenimiss ananikumbuka na mi kuna muda namfikiria
😀😀😀😀
 
Mkuu hiyo Morena ipo hapo msamvu, au ni kule mjini?
 
Baadae nikaenda pale samakisamaki, hii biashara iko wazi wazi pale. Nikiwa nimekaa pale pembeni wamekaa wadada wawili wameshika simu zao, nikafanya kama kuita hivi!! Akaja, huyu sikukusudia kufanya nae biashara! Nilimnunulia tu bia ili nifanye utafiti sasa...
Asante kwa kutujuza hili chimbo la kupata hawa wauza utamu
 
Wakuu, natoa angalizo la Wazi kabisa!! Hapo Morogoro mjini haswa Maeneo iliyopo Hotel ya Morena na kwa nyuma yake kule (Majumba ya Mawe) na Samaki Samaki...

Kwanza haya maeneo yana wanadangaji wakutosha, na wanamitego kweli kweli! Ukiingia tu wanakuja hilo eneo la parking na kujifanya kujipiga piga picha hili linafanyika sana kuaniza mida ya Saa 10 hadi 12jioni.

Nguo walizovaa na miili yao na vikuku lazima kama ni m'beba madanga uone hiyo code na kitakachofuata utaita au utafuata mwenyewe!! Baada ya hapo logistics nyingine zinaendelea...

Jana imenitokea situation mpaka sasa naitafakari!!

Kama nilivyoeleza hapo juu, nimeingia zangu pale mida ya jioni jioni! Wakapita wadada wawili mmoja Mweupe na mwingine mweusi (bonge, mrefu, nyuma kishundu kipo kipo) amevaa kibukta chake, wakawa wanajipiga piga picha pale- Wanaopafahamu Morena(Moro) mtanielewa zaidi. Huyu mweusi mimi nilimwelewa na nilivyomwita akaniachia namba chapu, ilikuwa saa kumi na moja kasoro.

Nikaingia hotelini nilivyomaliza taratibu zangu zote, nikampigia yule Dada, kwenye mazungumzo yetu akaniambia kuja kulala ni 90k, kuja na kuondoka 60k, tukabargain hadi mwisho, akakubali kuja kwa 40k na atakuja saa 1jioni aondoke saa 3usiku huo.

Ilivyofika saa 12 na nusu nikatoka ili nikae kwenye garden kwa nje pale, kwa muda niliokaa pale nilijionea Wadada kibao wakifanya kama wale wakwanza!! Nikajua inaweza kuwa official thing!!

Anyway turudi kwenye point alivyokuja kwanza alikataa kunywa bia na hata wine[emoji485] anataka maji! Duuh, haikuwa shida!

Wakati tunaingia ndani tuko kwenye lift akaniuliza jina langu!! Nikamwambia jina la Uongo, as kati ya kitu ambacho siwezi kabisa kusema kwa mgeni ni jina langu halisi...

Tulivyoingia room, haikuchukua muda sana akaanza kazi yake itakayompa Ujira baada ya 2hours, ndio amenikumbatia nini na mambo mengine mengine, sasa kila baada ya sekunde 5 ananiita jina, anataja jina anamalizia na mpenzi hivyo, anaita sana! Ikabidi nimuulize why this? Anasema akiita hivyo ndio anapata mzuka [emoji3][emoji3]!!

Anyway nilipata wasiwasi sana, kwasababu ile ita yake haikuwa normal*

Wasiwasi ulinizidi baada ya 1st round ilibidi nimwambie inatosha swaga zake ziliniogopesha, na nilipiga only kwasababu nilikuwa na mipira!

Nikampatia pesa yake ili aende! Saa tatu ilikuwa hata haijafika, kabla yakuondoka aliniuliza kwanini nimemdanganya jina.? Whaat!! Ni kama vile alijisahau, nafikiri hakukusudia kuniuliza lile swali, nikamhoji sana alitegemea nini!! [emoji3064][emoji3064], Anyway aliondoka bila impact yoyote kwangu!!

Baadae nikaenda pale samakisamaki, hii biashara iko wazi wazi pale. Nikiwa nimekaa pale pembeni wamekaa wadada wawili wameshika simu zao, nikafanya kama kuita hivi!! Akaja, huyu sikukusudia kufanya nae biashara! Nilimnunulia tu bia ili nifanye utafiti sasa...

Kuna siri gani kwenye hiyo business, akawa wazi bana kumbe wangine wanadawa zao, akikuita sana jina lako ujue ni namna tu yakukuzuzusha ili utoe pesa nyingi zaidi ya ile mliokubaliana. Na unaweza kuwa kama tahira kabisa ukiwa kwenye huo mchezo na wao wanachukua pesa tena ukiwa Panzi wanahamisha hata zilizoko kwenye simu yako...

So, Let take care!!

Naamini kuna waliokwisha kulizwa humu, ndio hivyo hawawezi sema!!

[emoji4] Tuwe makini sana kwa sababu danga zenyewe ni visu(wazuri) kweli kweli, kumbe Wachawi.
Mkuu tunaomba picha ya huyo mdada ili siku tukikutana nae tumkwepe
 
sijawai nunua malaya atasiku moja ngoja nijalibu siku nione mana na mimi moro ndo makazi yangu
 
[emoji3][emoji3] Kuna mmoja anaishi Masaki kwenye apartment yeye anauza kuanzia 200k!! Ana kama package flani hivi. [emoji3]!

Kuna siku nilimsemesha kwa 100k akaniblock kabisa. [emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee hatari
 
M
Malaya ni hatari sana na washirikina sana ata shanga zao wengi wanazovaa ukiigusa tu wakati wa sexy utakuwa unamchukua yeye tu , na kulala na malaya unabadilishana roho ya ukahaba na umalaya na inakuingia na kuacha ni ngumu sana, mi kuna malaya nafsi yangu na yake zishakuwa kama moja kuna muda ananipigia hadi simu eti amenimiss ananikumbuka na mi kuna muda namfikiria
Mnakuwaga wajinga sana😂😂
 
Back
Top Bottom