Kabisa wamefanya mradi wa kujipatia kipatomazoea hujenga tabia....
kuomba omba kuchangiwa ndio hulka, na ndio sura ya CHADEMA kwasasa..
na hakuna namna unaweza kuwatoa kwenye mazingira hayo...
kwasa msimamo, sera, uelekeo na malengo yake ni kuomba omba chochote kitu ndani na nje ya nchi ili wapate chakula, hakuna nia au dhamira nyingine waliyonayo hata tunapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 🐒