kuchangisha watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Heche amekaa bungeni 10yrs Leo anasaidiwa na Maria Sarungi kuchangisha watu amalizie nyumba yake, serious?

    Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣 Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa. imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO...
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wafuasi wa CHADEMA msigeuze changisha changisha yenu kuwatapeli watu

    Huu utaratibu wa kuwachangisha watu kwa sababu mbalimbali unamapungufu mengi sana tunaomba serikali iingilie Kati kuna ufisadi mkubwa sana Wananchi wanafanyiwa kupitia hii michango ambayo wafuasi wa chadema wamekuwa wakichangisha watu kila uchao na ukijaribu kuhoji kidogo tu juu ya mapato na...
Back
Top Bottom