instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindengeš¤£
Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa.
imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO BUNGENIš¤£
Angalizo: hapo juu nimetoa mfano wa kucheza kindege tafadhari hii ni kamali kaa nayo mbali ni hatari kwa afya ya akili Yako.