Heche amekaa bungeni 10yrs Leo anasaidiwa na Maria Sarungi kuchangisha watu amalizie nyumba yake, serious?

Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣

Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa.

imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO BUNGENI🤣

Angalizo: hapo juu nimetoa mfano wa kucheza kindege tafadhari hii ni kamali kaa nayo mbali ni hatari kwa afya ya akili Yako.
alidhani akibeti atapata pesa mingi zaidi ya pension yake ya ubunge, kilichompata, kamwe hatamsahau muhindi 🤣
 
Bora Heche ambaye anachangiwa kuliko huyu fisadi ambaye haeleweki shughuli yake rasmi ila anafuja mabilioni ya watanganyika.

Halafu mwalimu unapandisha nyuzi kulia mnakatwa $20 na hujui zinakwenda wapi kumbe akina Abdul wanaogolea kwenyw ubilionea.
download.png
download.png
download (2).jpeg
 
Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣

Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa.

imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO BUNGENI🤣

Angalizo: hapo juu nimetoa mfano wa kucheza kindege tafadhari hii ni kamali kaa nayo mbali ni hatari kwa afya ya akili Yako.
Tunaendelea kuchanga na tutawachangia viongozi wetu wa CHADEMA. Wewe endelea kuumia tu. Huye Hipoppotumus yeye anakula mali za umma left, right and centre. Machawa mnapiga makofi. Akili za hipoppotumus hizo
 
Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣

Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa.

imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO BUNGENI🤣
Nyerere alikaa madarakani miaka 23, alipostaafu tukamchangia hela na akajengewa nyumba Butiama, Musoma. Hela za kustaafu alizipeleka wapi, umewahi kuhoji?

Kina Kikwete hawa, wake zao nk tunawalisha kwa hela ya serikali baada ya kustaafu.

Basi usihoji kwa kutuhumu bila kuwa na habari kamili.
 
Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣

Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa.

imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO BUNGENI🤣

Angalizo: hapo juu nimetoa mfano wa kucheza kindege tafadhari hii ni kamali kaa nayo mbali ni hatari kwa afya ya akili Yako.
Sisi tutachanga tu, mlie mcheke mtajua wenyewe. Heche piga kazi hii kukurukakara ni mapigo ya mwisho ya mapepo kuchomoka. Wakemea mapepo watakuwa wanaelewa
 
Back
Top Bottom