Angechukuwa Kombe la CAF ungekuta hadi leo ni ziara ya majigambo

Angechukuwa Kombe la CAF ungekuta hadi leo ni ziara ya majigambo

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Mungu ni Mkuu.

Pale unapopambana ufanikiwe ili umtukane jirani yako .

Kiuhalisia Kombe la Shirikisho Caf mwk huu lilikuwa la Simba ila kutokana na Kiburi , kufuru , dhihaka na ulimbukeni Mungu akasema " HAPANA ".

Kimsingi ktk ligi yetu Mashabiki wanaoongoza kwa maneno Machafu ni SIMBA. Vinywa vyao vimejaa maneno ya hovyoo sana.

God is Great
 
Simba kuchukua shirikisho ingefifisha sana juhudi za kupata haki kuelekea uchaguzi mkuu
 
Ahueni walikosa. Maana tungechambwa na kuimbiwa taarab kama zile za Bi Hadija Kopa.
 
Back
Top Bottom