Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Apr 18, 2024 #21 FaizaFoxy said: Ndiyo faida za kuwa chama tawala. Click to expand... Duh!Kwa hiyo kuwaza,kutenda na kuwa na nia ovu ni ruksa ukiwa tawala?
FaizaFoxy said: Ndiyo faida za kuwa chama tawala. Click to expand... Duh!Kwa hiyo kuwaza,kutenda na kuwa na nia ovu ni ruksa ukiwa tawala?
CriSanToS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,233 Reaction score 3,575 Apr 18, 2024 #22 CCM ni majambazi.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Apr 18, 2024 #23 CriSanToS said: CCM ni majambazi. Click to expand... Watakuuliza wamekuibia nini na kwa ushahidi upi?Mwizi ni wa kupiga na kuua na siyo kuanza kumuuliza maswali na kujibizana.
CriSanToS said: CCM ni majambazi. Click to expand... Watakuuliza wamekuibia nini na kwa ushahidi upi?Mwizi ni wa kupiga na kuua na siyo kuanza kumuuliza maswali na kujibizana.
CriSanToS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,233 Reaction score 3,575 Apr 18, 2024 #24 Moisemusajiografii said: Watakuuliza wamekuibia nini na kwa ushahidi upi?Mwizi ni wa kupiga na kuua na siyo kuanza kumuuliza maswali na kujibizana. Click to expand... Hakika mwizi ni wa kupiga na kuua na siyo kumpa air time ya kujibizana naye.
Moisemusajiografii said: Watakuuliza wamekuibia nini na kwa ushahidi upi?Mwizi ni wa kupiga na kuua na siyo kuanza kumuuliza maswali na kujibizana. Click to expand... Hakika mwizi ni wa kupiga na kuua na siyo kumpa air time ya kujibizana naye.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Apr 18, 2024 #25 UVCCM ina vijana wa hovyo wasio na uwezo wa kujenga hoja, wao ni matusi na vitisho.
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Aug 13, 2024 #26 Double standards