Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.

Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.

Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
 
CCM waseme hilo bwawa limewashinda waturuhusu tuligeuze kuwa eneo la kupigia picha mbugani huku tukila @mbususu za Kikwaya
 
Bora kama mmeanza kung'atana wenyewe Kwa wenyewe na fikiri akili zitawajia na mtaacha chuki Kwa wengine kwani mtatambua kuwa hazina mwenyewe.
Kwa hiyo wewe uko upande upi, wetu tunaotaka ujenzi wa bwawa ukamilike, au upande wa mhujumu januari? Labda tuelewane hapo kwanza
 
..kwasababu alishindwa kwenye sgr ya Dar to Moro hakuna sababu ya kuamini angeweza kukamilisha jnhp kwa wakati.
Mkuu sikubaliani na wewe kama alishindwa kwenye Sgr, kumbuka Sgr na ujenzi wa bwawa la umeme ni vitu viwili tofauti. Kama ratiba ya kujaza maji ilikuwa Nov mwaka jana basi tambua kulikuwa na uwesekano mkubwa kukamilika June 2022.
 
Ila wafurukutwa SI, wapo na wakereketwa, je mmeshafahamu shida ipo wapi, kama ni pesa mmesha kuwa hata na wazo la kufanya harambee, au ni mahodari wa yowe tu .
Unafikiria hayo mabakuli ya join the chain yanaweza kujenga bwawa la Nyerere? Hizo zinamtosha mwenyekiti na saccos yake tuu .
 
Back
Top Bottom