Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

Sasa kwanini hamjengi mkamaliza, au Kuna mtu , alitundanganya kama hatujajenga Kwa mkopo tumejenga Kwa pesa zetu, Sasa tuwaige was join the chain tuzame mfukoni mradi ukamilike, hata jero jero tunapata fungu.
Hizo jerojero zinamtosha Joyce mpelekeeni.
 
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.

Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.

Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Mbona sgr Dar to Moro ilimshinda??
Una uhakika gani angeweza hilo bwawa..??
Ahimidiwe Mwenyezi MUNGU kwa kutuondolea huyu muuwaji mkubwa.
 
Mtu unaweza kuwa na uchungu na rasilimali fedha halafu umuweke mtoto wa dada yako kuwa mlipaji mkuu hazina?

Shamba la bibi ni suala endelevu kwa viongozi wa kiafrika.

Millioni 50 kila kijiji zilimshinda.

Universal healthcare coverage ndio usiseme.

Washamba mnazidi kuumia hakuna tenda zile za Mayanga constructions.
 
Mambo yanakwenda mrama kila kitu kimevurugika
 
Unafikiria hayo mabakuli ya join the chain yanaweza kujenga bwawa la Nyerere? Hizo zinamtosha mwenyekiti na saccos yake tuu .
Sasa acheni kulalama, miradi mingine ni mizito na tulihitaji kuifanya ila namna tuliyoifanya Kwa pamoja ndio changamoto yetu. Kumbuka wakati Fulani tulisitisha mipango mingine yote na kuelekeza nguvu pamoja. Jambo lililokuwa Moja ya njia ngumu na mbaya tuliyokuwa tumeichagua . Hivyo Kwa Sasa ni muda wakuichukua njia uliyo sahihi na sii muda wa kulaumiana🤔.
 
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.

Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.

Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Ndo maana tulikuwa tunawaambia inabidi kuwepo na vipaumbele vya taifa mkawa mnabisha. Na kwa akili zenu hizo za kushikiwa mtaendelea kulia lia kila siku. Kwenye swala la umeme mkwele alisema gas ingemaliza kila kitu, akaondoka mpaka leo umeme tatizo, kaingia huyo mungu wako nae akarukia bwawa nae wale wale akashika mambo mengiii mwisho wa siku kaondoka hajamaliza yote.
 
Maza yupo busy na royal tour
 
Kwa hiyo wewe uko upande upi, wetu tunaotaka ujenzi wa bwawa ukamilike, au upande wa mhujumu januari? Labda tuelewane hapo kwanza
Hapa kwanza tujue shida ilipo, kama tutakuwa tunakalamika bila kujua chanzo Cha tatizo , hiyo nayo ni shida nyingine🤔
 
Ndo maana tulikuwa tunawaambia inabidi kuwepo na vipaumbele vya taifa mkawa mnabisha. Na kwa akili zenu hizo za kushikiwa mtaendelea kulia lia kila siku. Kwenye swala la umeme mkwele alisema gas ingemaliza kila kitu, akaondoka mpaka leo umeme tatizo, kaingia huyo mungu wako nae akarukia bwawa nae wale wale akashika mambo mengiii mwisho wa siku kaondoka hajamaliza yote.
Kila mtu anataka kupiga pesa ndefu
 
Unafikiria hayo mabakuli ya join the chain yanaweza kujenga bwawa la Nyerere? Hizo zinamtosha mwenyekiti na saccos yake tuu .
Chairman kasha kuambia yeye hana shida na mapesa kwani alishajaaliwa tangu zamani, Wala hayataki mavyeo ila kurejesha Kwa jamii zaidi kama anavyofanya rafiki yangu Paschal a. k. a P. ⛹️
 
Back
Top Bottom