Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
We bwege umeenda shule? Pesa hazipo kwa ajili ya mradi?Ila wafurukutwa SI, wapo na wakereketwa, je mmeshafahamu shida ipo wapi, kama ni pesa mmesha kuwa hata na wazo la kufanya harambee, au ni mahodari wa yowe tu .
Ngonjera na nahau kibao. Dogo Januari anatunga mashairi na vina Kila siku.Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma...
Sasa kwanini hamjengi mkamaliza, au Kuna mtu , alitundanganya kama hatujajenga Kwa mkopo tumejenga Kwa pesa zetu, Sasa tuwaige wa join the chain tuzame mfukoni mradi ukamilike, hata jero jero tunapata fungu.We bwege umeenda shule? Pesa hazipo kwa ajili ya mradi?
Bwashee una maana tuchange halafu tumkabidhi januari kusimamia michango yetu?Sasa kwanini hamjengi mkamaliza, au Kuna mtu , alitundanganya kama hatujajenga Kwa mkopo tumejenga Kwa pesa zetu, Sasa tuwaige was join the chain tuzame mfukoni mradi ukamilike, hata jero jero tunapata fungu.
Mnafikiriaje badala ya kupiga mayowe tu.Bwashee una maana tuchange halafu tumkabidhi januari kusimamia michango yetu?
Mbona SGR kipande cha Dar to Moro kilimshinda kumaliza?Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma...
Sio kweli, mkandarasi ndio alikuwa analalamika juu ya milima na hali ya hewa kumchelewesha...mbona sgr kipande cha Dar to Moro kilimshinda kumaliza?
Simpo: mhujumu januari aondoke ndo tunaweza kuchanga; na januari akiondoka wala hatutahitaji kuchanga!Mnafikiriaje badala ya kupiga mayowe tu.
Sio kweli, mkandarasi ndio alikuwa analalamika juu ya milima na hali ya hewa kumchelewesha.
CCM waseme hilo bwawa limewashinda waturuhusu tuligeuze kuwa eneo la kupigia picha mbugani huku tukila @mbususu za KikwayaHayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Unaonaje upewe wewe🤔Simpo: mhujumu januari aondoke ndo tunaweza kuchanga; na januari akiondoka wala hatutahitaji kuchanga!
Ni bora kuliko kupewa mhujumu!Unaonaje upewe wewe🤔
Bora kama mmeanza kung'atana wenyewe Kwa wenyewe na fikiri akili zitawajia na mtaacha chuki Kwa wengine kwani mtatambua kuwa hazina kwenu wenyewe.Ni bora kuliko kupewa mhujumu!
Kama uko karibu na Samia penyeza tu jina langu: Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde.Unaonaje upewe wewe🤔
Kwa hiyo wewe uko upande upi, wetu tunaotaka ujenzi wa bwawa ukamilike, au upande wa mhujumu januari? Labda tuelewane hapo kwanzaBora kama mmeanza kung'atana wenyewe Kwa wenyewe na fikiri akili zitawajia na mtaacha chuki Kwa wengine kwani mtatambua kuwa hazina mwenyewe.
Mkuu sikubaliani na wewe kama alishindwa kwenye Sgr, kumbuka Sgr na ujenzi wa bwawa la umeme ni vitu viwili tofauti. Kama ratiba ya kujaza maji ilikuwa Nov mwaka jana basi tambua kulikuwa na uwesekano mkubwa kukamilika June 2022...kwasababu alishindwa kwenye sgr ya Dar to Moro hakuna sababu ya kuamini angeweza kukamilisha jnhp kwa wakati.
Unafikiria hayo mabakuli ya join the chain yanaweza kujenga bwawa la Nyerere? Hizo zinamtosha mwenyekiti na saccos yake tuu .Ila wafurukutwa SI, wapo na wakereketwa, je mmeshafahamu shida ipo wapi, kama ni pesa mmesha kuwa hata na wazo la kufanya harambee, au ni mahodari wa yowe tu .