Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Nimecheka kwa dharau, rubbish 🚮🚮Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Tindo mimi nakujua kabisa wewe una chuki na hayati. Kipande cha Sgr Moro Dar kilikuwa na changamoto nyingi huwezi kukubali hata ukiambiwa ukweli.Huyo mpika data aliyedanganya kipande cha Sgr Dar-Moro kitakuwa tayari mpaka Nov 2019?
Tusipotoshane, Tatizo la mradiule ni makosa ya kiufundi katika ujenzi wake. Ni tatizo la mkandarasi wala sio la kisiasa. Hata angekuwa Magu mradi usingekamilika Juni mwaka huu.Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Yani wewe upo busy ku criticize muda, but you can't use the brain of yours kuona alikuwa mtu wa namna gani even to dare kuanzisha huo mradi, kwa akili za viongozi wetu unafikili wangapi wangefikisha huo mradi ulipo Sasa? JPM dared to transform this country, hata kuanzisha tu mradi wa bwawa la umeme its daring ya hali ya juu sana that you won't see in most leaders hapa kwetu. Wengi wapo kutuumiza tu na kuibia taifa..Muda wa kwisha mradi haukuwa realistic. Uliwekwa kumfurahisha mtu kwa jinsi yeye alivyotaka
Sio kweli, mkandarasi ndio alikuwa analalamika juu ya milima na hali ya hewa kumchelewesha.
Badala ya kujibu unakimbilia kutoa lugha za ovyo...We bwege umeenda shule? Pesa hazipo kwa ajili ya mradi?
Jadili hoja yangu. Nimesema muda wa mradi na si whether mradi ni mzuri au mbaya. Jaribu kufuatilia miradi mikubwa kama hiyo duniani ilikamilika kwa muda gani na pia fuatilia mkandarasi huyo kama amewahi kujenga miradi mingapi ya ukubwa huo ili kufahamu capacity yake. Serious companies hasa za ulaya ziliogopa ban kutokana na mradi kwenda kinyume cha mazingira as sehemu ulipo ni hifadhi ya kidunia na hata report yake (ya feasibility) ilikuwa too old.Yani wewe upo busy ku criticize muda, but you can't use the brain of yours kuona alikuwa mtu wa namna gani even to dare kuanzisha huo mradi, kwa akili za viongozi wetu unafikili wangapi wangefikisha huo mradi ulipo Sasa? JPM dared to transform this country, hata kuanzisha tu mradi wa bwawa la umeme its daring ya hali ya juu sana that you won't see in most leaders hapa kwetu. Wengi wapo kutuumiza tu na kuibia taifa..
Shida wengi "akili" zimefungwa governor hauwezi fikiri mambo beyond petty things kama vile mradi utakamilika lini...watu weusi sisi kuna kitu huwa hakiko sawa kwenye vichwa vyetu si bure!!
Kwani wahusika wanasemaje kuhusu lini bwawa linategemewa kumalizika kujengwa?Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Ngonjera tu.Kwani wahusika wanasemaje kuhusu lini bwawa linategemewa kumalizika kujengwa?
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi..
Siku za nyuma tuliambiwa tutapata umeme utokanao na gesi kwa bei rahisi nadhani wewe ulikuwa bado mdogoHizo jerojero zinamtosha Joyce mpelekeeni.
Tuliza mshono, kma vipi kamfuate kaburini umueleze huu upuuzi wakoHayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Lakini kweli. Alikuwa mtu wa vitendo. Vitendo vya kupoteza watu, hawajaonekana mpaka leo. Kutesa. Kuzuia watu wasiseme. Kutoa takwimu za uongo. Kukanusha milipuko ya mgonjwa.Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
TUNASHUKURU KWA MAJEDWALI. Tunahitaji umeme wa bei nafuu na MRADI HUU UKAMILIKE KABLA YA UCHAGUZI UJAO. HIYO GESI MUIUZE KAMA NI YETU. Hatuwezi kununua umeme wa gesi wa gharama kubwa wakati huu wa bwawa ni nusu ya bei. GESI ITANUNULIWA KWA WINGI MAANA HUKO WANAWEKEANA VIKWAZO VYA KUUZIANA.Badala ya kujibu unakimbilia kutoa lugha za ovyo...
Binafsi nishasema sana hapa kwamba JPM Administration ilijaa UONGO lakini tukaonekana tuna chuki!!
Ripoti ya CAG (Development Projects) ambayo ilitolewa wakati JPM akiwa hai ilieleza mengi kuhusu Bwawa la Nyerere! Na wakati huku mitaani mkidanganywa mambo ni bam bam, ukweli ni pamoja na ufuatao:-
View attachment 2143150
Wakati wewe ukiamini mipesa ipo tu kwa sababu ndivyo mlivyokuwa mnaambiwa, CAG alishindwa kuona bajeti for 2 consecutive financial years.
Bajeti ambayo CAG alithibitisha kuwepo ni kwa 2019/20 and 2020/2021 ambayo unaona hapo TOTAL ni takribani TZS 3 Trillion, wakati Project Cost ni takribani TZS 7 Trillion!
Now endelea kuamini JPM alishatenga matrilions za kumalizia huo mradi!!
Je, baada ya kazi kuanza... mambo yalienda mserereko kama mlivyokuwa mnaambiwa huku mitaani?!
Setback ya kwanza ilikuja baada ya TANESCO kumruhusu Contractor kujenga 1 Diversion Tunnel badala ya 2 kama ambavyo mkataba ulikuwa unase,a. Matokeo yake, iliponyesha mvua, na kutokea mafuriko maji yakapanda juu!
View attachment 2143174
Outcome: Project ika-delay kwa miezi 5
View attachment 2143173
Again, endelea kuamini kwamba angewepo JPM basi mradi ungekamilika by June 2022 wakati tayari setbacks zilishatokea tangu wakati akiwa hai huku mkiambiwa "mambo kama kawa"!!
Je, baada ya ku-delay for 5 months, ina maana mambo ndo yakaanza kwenda kwa mserereko?! CAG mnoko ambae solution yake ilikuwa kuto-renew mkataba wake anaendelea hapa chini"-
View attachment 2143181
E bhana eh!
Kumbe wakati watu wanasubiria kusherehekea Mwaka 2021, mradi ndo kwanza ulikuwa umefikia 28.61%... ikiwa ni delay ya takribani 7 months.
Hapa nakukumbusha tu kwamba, hadi JPM anakutwa umauti, kuna kila dalili mradi ulikuwa hujafikia hata 35% completion rate!!
Je, shughuli zingine zilikuwa zinaenda kwa kasi?!
Summary ya project implantation ni kama inavyoonekana hapa chini:-
View attachment 2143187
Kumbe hadi CAG anaingia mitamboni, kulikuwa na major project components kibao ambazo zilikuwa hata hazijaanza huku zikiwa zime-delay kwa miezi kadhaa! Kuanza kwa ujenzi wa Permanent Bridge kwa mfano, ilikuwa ime-delay kwa zaidi ya Siku 500... sasa yale ma-crane yanayotakiwa kuwekwa kwenye tunnels sijui yatapitia wapi!!
All in all, yote hayo huenda yasingekuwa big issue kama kungekuwa na pesa ya kutosha!! Na hata mwanzoni mambo yalianza kwenda fasta baada ya kuchukua syndicated loans from Trade Development Bank ($ 1 Billion) na Credit Suisse ($0.5 Billion)!
Na hii mikopo inakuja wakati tuna 2 major projects, kwahiyo kuna uwezekano mkubwa ikawa pesa inayopatikana inakuwa distributed kwenye hizo projects 2.
Mikopo mingine ambayo JPM alifanikiwa kuipata kabla hajafariki ni pamoja na mkopo wa $400 Million kutoka UBA.
Hapo ndipo tunarejea swali uliloulizwa na JokaKuu ambalo umejibu kirahisi mno... "mbona kipande cha SGR kutoka Dar to Moro tu, alishindwa kumaliza"?
Sasa endelea kusingizia Wakandarasi na akina Makamba wakati uhalisi ni kwamba, hata wakati JPM anaaga dunia, bado sehemu kubwa ilikuwa haijafanyika!!
Mjomba Magu kwa SGR alichemsha sana,Mbona SGR kipande cha Dar to Moro kilimshinda kumaliza?