Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

..asante kwa majibu yako ambayo umeyatetea kwa USHAHIDI wa data na vielelezo toka vyanzo vya serikali.

..tatizo la vijana wengi tunaojadiliana nao hapa JF ni kuamini zaidi ktk propaganda za Ccm kuliko ukweli na uhalisia.
Hizo ni data za uhakika ? Acha basi kudanganya umma.
 
..source ya hizo data ni ofisi ya mdhibiti na mkaguzi wa mahesabu ya serikali, ndio maana nasema zimetoka ktk chanzo kinachoaminika, cha uhakika.
Hizo data ni za nini? Ndio ilikuwa final conclusive report? Au unadakia ushabiki?
 
Hizo data ni za nini? Ndio ilikuwa final conclusive report? Au unadakia ushabiki?

..badala ya kutufokea kwanini usilete hiyo final conclusive report?

..huu mradi ni wetu sote, na ukifanikiwa ni faida kwetu sote.

..kwa maana hiyo ni lazima Watz tuwe macho na kuudadisi wakati wote ili kuepusha kujengewa na kukabidhiwa mradi ulio chini ya viwango.
 
Nani kakufokea? Wewe una CAG anavyofanya kazi so usipelekwe na wapuuzi wachache wasio na uelewa.
 
Ndio maana mimi tarehe 17/03/2022 NITAKWENDA KAZINI na kuchapa kazi kwa bidii zaidi ya siku zote ili kumuenzi na kudumisha slogan yake ya "HAPA KAZI TU"!
 
Mradi unakwamishwa makusudi au?
 
Mbona SGR Sar -Morogoro ilitangazwa kiwa itakamilika Niv 2019 lakini hadi anafariki mwaka mmoja baadae ilikuwa haijakamilika?
 
Kwa akili yako mkandarasi ambaye halipwi au hana uhakika wa kulipwa angekaa site?

..kwanini mradi umechelewa?

..kwanini tunalipa mkandarasi anayechelewesha kazi?

..kumbe kuna UFISADI unaendelea huko, juu ya incompetency iliyoripotiwa.
 
..kwanini mradi umechelewa?

..kwanini tunalipa mkandarasi anayechelewesha kazi?

..kumbe kuna UFISADI unaendelea huko, juu ya incompetency iliyoripotiwa.
Naona akili zako zimefunguka
 
Foolish
 

Huu ndio ukweli uliofichwa kwa nguvu zote, vyombo vya habari vilidhitiwa, watu walitekwa, watu walibambikiwa kesi, uchaguzi uliporwa ili kuzuia ukweli huu kuwa wazi kwa umma. Na iwapo Mungu asingetenda yake tarehe 17 marchi 2021, saa hii hali ingekuwa mbaya zaidi.
 
Lakini waziri wa fedha anasema serikali ilikuwa imeishiwa pesa. Kwa hiyo msemo huo wa waziri ni uongo?
 
..sgr tangu mwaka juzi iko asilimia 95++.

..Jpm alikuwa mzuri sana ktk propaganda.
Nakumbuka kipande cha Gold Star pale walifukuzwa ma engineer pale cos yale mabams yakule juu yalitoa ufa ivo pakavunjwa pakarudiwa upya.

Kimsingi Magu alikuwa mtendaji hakuwa mwanasiasa mzuri, alikuwa mtu kazi suala la % kwa ile reli sehemu kubwa zilikuwa zimekamilika kwakweli ila sehemu muhimu zilikuwa bado na ata hivo fedha za ujenzi alikuwa anakamua kwenye bajeti ya ndani na ndiyo maana phase 1 imechelewa mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpinzire hujui kitu bali ni mhanga w uwongo wa Mwendazake tu. Pesa za ndani alikuwa anawadanganya wajinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…