Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

Saivi ni mwendo wa vitenge
 

..alikuwa mchapakazi.

..tatizo lake lilikuwa ubaguzi na ukatili.

..mtu asiyekuwa na ubinadamu hastahili nafasi ya uongozi.
 
Sio kweli, mkandarasi ndio alikuwa analalamika juu ya milima na hali ya hewa kumchelewesha.
Taja hiyo milima maana hicho kipande nakijua chote.. Wale waturuki kiwanja Chao weekend ilikuwa pale Samaki Samaki, walipokuwa na pesa tulijua na pesa ilipokata tulijua kwa sababu mbona wanasema??
 
Tafuta hela ili usitegemee umeme au rasilimali za serikali
 
Mimi naamini kuna mkakati maalumu uliopangwa ili kukwamisha ukamilishaji wa Bwawa. Ndiyo maana Medard Kalemani alitolewa nje ili kuufanyia kazi mkakati huo wa ovyo.

Tangu Medard Kalemani aondolewe kwenye uwaziri, mambo ya kishenzi yaliyojitokeza ni pamoja na:-
(1)Kufifisha juhudi za umaliziaji Bwawa na badala yake ni ngonjera za kihuni kila kukicha.
(2)Bei za umeme kupanda pamoja na umeme kukatika katika mara nyingi bila utaratibu tofauti kabisa na alipokuwepo JPM.
Kwa kifupi ni kwamba, watenda kazi wazuri katika Wizara wametolewa na wameletwa watu.
 
There's new sheriff in town, get used to it or get lost.
 
Mungu anajua sana...

Yaani tulikuwa tunaelekea kubaya kweli kweli.Sipati picha eti hadi sasa tungekuwa tumebaki nae almost 3 years. Na staili ya viongozi kama hawa, namna pekee ya kuendelea kuficha madudu yao inakuwa ni kuendelea kubaki madarakani kwa miaka mingi zaidi!
 
Mbona SGR Sar -Morogoro ilitangazwa kiwa itakamilika Niv 2019 lakini hadi anafariki mwaka mmoja baadae ilikuwa haijakamilika?
Hana cha kujibu hapo zaidi ya matusi, manake ndicho pekee anachokijua!!
 
Nimekuambia nitakusugua mpaka ukojoe, we nishobokee.
Nimekuuliza:-

Sasa matusi ya nini dadangu?

NI frustration za kuondokewa na basha wako marehemu au watoto na mke halali wa marehemu wamekupa vitasa?

Anza na hayo maswali, kima wewe!!
 
JPM hakuwa Mtendaji mzuri bali alikuwa a good administrator.

Kuwa Mtendaji mzuri kunahitaji utulivu wa kifikra... hivi JPM alivikosa!

Na kwavile alikuwa a very good administrator, kama Jakaya angemfanya JPM kuwa PM wake, basi serikali ya Mkwele ingefanya vizuri sana kwa sababu kitu kikubwa ambacho JK alikosa kwenye serikali yake ni usimamizi wa shughuli za serikali.

Hilo la SGR kukamua bajeti za ndani... man, ina maana mlikuwa hamfuatilii kabisa kilichokuwa kinaendelea?

Hapo juu nimeweka maelezo kuhusu Trade and Development Bank (TDB), Standard Chartered Bank, Credit Suisse na United Bank of Africa...

Benki zote hizo zilitoa mikopo kwa serikali, na pesa zilielekezwa kwenye SGR na JNHPP.

Na ukitoa TDB, zilizobaki zote ni commercial banks lakini bado watu tunaota kupata umeme wa bei nafuu kutoka JNHPP; sasa sijui hiyo mikopo italipwaje!!

Na hata hiyo TDB, sidhani kama terms zao kwetu zinaweza kuwa sana na nchi zingine za COMESA!
 
Jiwe......jiwe....jiwe....! Sipati picha angekuwa hai hadi sasa! Kweli Mungu fundi
 
Tatizo Mjomba Magu kuna wakati alikosa ubunifu wa wakutumia wataalamu.hata Mto Kagera ungeweza kuzalisha umeme mwingi na nafuu kama ilivyo Hudson River ya New York Marekani kwa kutumia Current ya maji ya mto.Akaishia kukalili eti baba wa taifa alitaka hivi......
 
Binafsi siamini kama huo mradi utaisha hata baada ya mwaka 2025; kwa ufupi mradi huo hautakiwi na baadhi ya watu, kibaya ni kwamba wasio utaka ndio wameshikiria mpini wa KISU, uking'ang'ania tu wanavuta mpini halafu wewe unakatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…