" Angekuwepo Magufuli…” Kauli inayotamkwa zaidi Tanzania

" Angekuwepo Magufuli…” Kauli inayotamkwa zaidi Tanzania

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
622
Reaction score
1,732
Huu ni utafiti binafsi na inarihusiwa na wewe comrade ufanye utafiti wako pia.

Hii kauli inakua akitamkwa sana na inaongezeka kila uchwao. Jambo la kushangaza ni kwamba, kuna watu walikua against Magufuli enzi za uhai wake, lakini leo utawasikia wakimtaja kwa majuto na kukumbuka utendaji wake.

Kauli hii inasikika zaidi panapokuwa na jambo ambalo haliendi sawa pahala fulani. Comrade unaweza kuweka utafiti wako hapa.
 
Huu ni utafiti binafsi na inarihusiwa na wewe comrade ufanye utafiti wako pia.
Hii kauli inakua akitamkwa sana na inaongezeka Kila uchwao.
Jambo la kushangaza ni kwamba, Kuna watu walikua against Magufuli enzi za uhai wake, lakini Leo utawasikia wakimtaja Kwa majuto na kukumbuka utendaji wake.
Kauli hii inasikika zaidi panapokua na jambo ambalo haliendi sawa pahala flani.
Comrade unaweza kuweka utafiti wako hapa.

Kabisa, ikitokea mtu akamkosoa rais wa sasa na akabaki salama, utasikia angekuwepo Magufuli?
 
Kwa Sasa nadhani CHADEMA ndio inatrend kuanzia Lema, covid 19, Ruzuku na ukaribisho wa Rais kwa BAWACHA.
 
Huu ni utafiti binafsi na inarihusiwa na wewe comrade ufanye utafiti wako pia.

Hii kauli inakua akitamkwa sana na inaongezeka kila uchwao. Jambo la kushangaza ni kwamba, kuna watu walikua against Magufuli enzi za uhai wake, lakini leo utawasikia wakimtaja kwa majuto na kukumbuka utendaji wake.

Kauli hii inasikika zaidi panapokuwa na jambo ambalo haliendi sawa pahala fulani. Comrade unaweza kuweka utafiti wako hapa.
Wapumbavu bado ni wengi sana. Huu nao ni uzi? Basi agombee 2025 mumpe kura
 
Hivi wasijulikana wameenda wapi siku hizi? Kikosi ya kabambe ya kutisha na mauaji?

Watamkumbuka watu wa chato maana ndo walikuwa watanzania wanaoishi peponi!!

Alipowaambia shangazi zangu atawachapa na kuharibu bei yetu ya korosho nilianza kumuona katili asiye na mfano!!
 
Back
Top Bottom