Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 622
- 1,732
Huu ni utafiti binafsi na inarihusiwa na wewe comrade ufanye utafiti wako pia.
Hii kauli inakua akitamkwa sana na inaongezeka Kila uchwao.
Jambo la kushangaza ni kwamba, Kuna watu walikua against Magufuli enzi za uhai wake, lakini Leo utawasikia wakimtaja Kwa majuto na kukumbuka utendaji wake.
Kauli hii inasikika zaidi panapokua na jambo ambalo haliendi sawa pahala flani.
Comrade unaweza kuweka utafiti wako hapa.
Kamuombeni Mbowe majivu yake japo mumzike ndugu yenuBen Saanane Rest in peace
Chacha Wangwe rest in peaceBen Saanane Rest in peace
Wapumbavu bado ni wengi sana. Huu nao ni uzi? Basi agombee 2025 mumpe kuraHuu ni utafiti binafsi na inarihusiwa na wewe comrade ufanye utafiti wako pia.
Hii kauli inakua akitamkwa sana na inaongezeka kila uchwao. Jambo la kushangaza ni kwamba, kuna watu walikua against Magufuli enzi za uhai wake, lakini leo utawasikia wakimtaja kwa majuto na kukumbuka utendaji wake.
Kauli hii inasikika zaidi panapokuwa na jambo ambalo haliendi sawa pahala fulani. Comrade unaweza kuweka utafiti wako hapa.
Angekuwepo JPM usingejibu hivyo🙂Wapumbavu bado ni wengi sana. Huu nao ni uzi? Basi agombee 2025 mumpe kura