Angel Benard aolewa mara ya pili

TUsimhukumu kwa kigezo cha utumishi wake, what if mwenye shida alikua huyo mume? Ina maana alipaswa aendelee kuvumilia maumivu kwasababu yeye mlokole? Mlokole hana moyo? Hana hisia? Au walokole wamewekea some sort of bullet proof kwenye mioyo yao?

Why people are always negative?

As long as anaishi she deserves a husband kuliko kuwa mzinifu, acheni negative thinking au ndo nyie mkioa walokole mnawatesa mkijua talaka hakuna? Smh!
 
Ila huyu dada naye ana tatizo.
Before Sakafu ana watoto wawili kila mmoja na baba Yake. (Mmoja kazaa na Shaboka)

Sihukumu ila yawezekana naye kuna kitu.
 

Watu wana maumivu mengi kwenye mahusiano sababu ya kutaka kufurahisha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…