Angel Benard aolewa mara ya pili

Anakaribia kufikisha watoto watano na wanaume tofauti tofauti.
Ila kabla ya kuwa mwimbaji wa gospel alianzaga kwanza na bongo flavor ila haikumtoa ndio akaingia gospel
Kwa kasi ya uolewaji afyatue afikishe kumi kabisa, tanzania chakula kipo na elimu ni bure, inaonekana kuolewa kwake ni kipaumbele sana sana.

Muda huu ameshafunga ndoa pia anajiandaa kuachika ili aolewe tena.

Amejipanga.
 
Kuwa na umbo kama unavyoliona sio sababu ya kutengenezewa nguo mradi nguo tu, kuna watu kama Mobetto wana maumbo ya kawaida lakini wanashonewa nguo akivaa unapata ana hips kama Sanchoka...

Kwenye fashion design huwa inafundishwa kuwa, every designer must know their customers na wajue kitu wanapaswa wadesign kwa kila mteja...

Ndio maana unapata kuna designers wa wanaume, wanawake, wanamichezo, marais, costume designers etc...

Unaweza kuta dada alienda kwa fundi wa nguo za kiume kutengeneza gauni la sherehe...
 
Kwa Kasi Ya Uolewaji Afyatue Afikishe Kumi Kabisa, Tanzania Chakula Kipo Na Elimu Ni Bure, Inaonekana Kuolewa Kwake Ni Kipaumbele Sana Sana
Muda Huu Ameshafunga Ndoa Pia Anajiandaa Kuachika Ili Aolewe Tena
Amejipanga
Hivi wewe hua upoje? Kila comment yako mie nachekaga sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜†
 
Huyu Nick wakati anazaa na Angel,tayari alikuwa na mkewe Rose ?Duh kama alikuwa tayari kaoa hawa the so called watumishi ni uzushi mtupu.
Itakuwa before hajaoa kwenye hizi harakati zao za makongomano ya injili huko ma vyuoni. Hata Rose kabla ya kuolewa naye Nick walikuwa wanamgombania wanawake I think rose ndio akamu win
 
Kwa Kasi Ya Uolewaji Afyatue Afikishe Kumi Kabisa, Tanzania Chakula Kipo Na Elimu Ni Bure, Inaonekana Kuolewa Kwake Ni Kipaumbele Sana Sana
Muda Huu Ameshafunga Ndoa Pia Anajiandaa Kuachika Ili Aolewe Tena
Amejipanga
[emoji28][emoji28] dada yuko vizuri ila sio mubinafsi anazaa zake watoto Kwa Hilo nimpongeze Kwa kweli
 
[emoji23][emoji28][emoji1][emoji16][emoji38][emoji38]Anakula Anashiba Atakuwa Anatokea Mbeya, Kigoma Ambako Kuzaa NiKazi Na Anajituma Sana Anafaa Hata Jiwe Angekuwepo Angempogeza Kuzaa Chap Chap
[emoji28][emoji28][emoji28]umejuaje angel anatokea Mbeya kumbe kuzaa Huwa ni kazi kama kazi nyingine
 
sasa wewe umeaumua kumwani huyu caritha ndio anawashikaga miguu hao wadada wakiwa chumbani na hyo aliyemtaja ?
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜„Makubwa Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…