zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Alichokifanya huyu mwamba kwenye kombe la dunia haswa Jana ni tofauti na alivyokuwa Man United, nahisi alikuwa anatufanyia kusudi, mpira wa Jana ndo wa di Maria tulikua tukiujua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah jamaa ana kasi ya ajabu,Yuko vizuri Sana Jana kaupiga mwingiAlipofanyiwa sub tu ndio hali akaanza kuwa mbaya kwa Argentina ndio muda huo mbape akaanza kuonekana
Ile namba yake anayocheza siku zote ,anastaili aiseeHuyu Amekua ndie Best Player wa Argentina kwa karibu miaka 10 sasa. Ndio mana figisu zinakua nyingi za kumbana bana.
Di Maria anapokuemo uwanjani Messi hupotea kabisa.
nilikerwa sana na uamuzi wa kocha kumuondoa ili messi aonekane, madhara yake argentina ikashinda kwa mbindeAlichokifanya huyu mwamba kwenye kombe la dunia haswa Jana ni tofauti na alivyokuwa Man United, nahisi alikuwa anatufanyia kusudi, mpira wa Jana ndo wa di Maria tulikua tukiujua.
nilikerwa sana na uamuzi wa kocha kumuondoa ili messi aonekane, madhara yake argentina ikashinda kwa mbinde
Man United kuna shida pale wachezaji wake wengi wakitoka nje ya team wanafanya vizuriAlichokifanya huyu mwamba kwenye kombe la dunia haswa Jana ni tofauti na alivyokuwa Man United, nahisi alikuwa anatufanyia kusudi, mpira wa Jana ndo wa di Maria tulikua tukiujua.
Jamaa kama angekuwepo wasingepanda amewasumbua sana na anajiamini mno. Alipotoka ndo wakaanza kupanda woteAlipofanyiwa sub tu ndio hali akaanza kuwa mbaya kwa Argentina ndio muda huo mbape akaanza kuonekana
Uko sahihi kabisa. Itakuwa labda pressure ya mafanikio ya haraka kwenye timu. Viongozi wanawatia pressure sana wachezajiMan United kuna shida pale wachezaji wake wengi wakitoka nje ya team wanafanya vizuri
Harry Maguire kacheza vizuri national team
Jesse lingard alitolewa kwa mkopo akawaka
Lukaku aliondoka akawaka
Depay anakichafua balaa huko umeona world cup
Varane sio yule wa Manchester United kabisa
Casemiro sio yule wa Manchester United alivyocheza
Na wengine wengi tu man United kuna shida sana.
Hata Rojo na Sergio Romero ile 2018 Argentina ilipofika fainal walikuwa wa moto, walipokuja tu kusajiliwa Man UTD basi wakapotea kabisa.Man United kuna shida pale wachezaji wake wengi wakitoka nje ya team wanafanya vizuri
Harry Maguire kacheza vizuri national team
Jesse lingard alitolewa kwa mkopo akawaka
Lukaku aliondoka akawaka
Depay anakichafua balaa huko umeona world cup
Varane sio yule wa Manchester United kabisa
Casemiro sio yule wa Manchester United alivyocheza
Na wengine wengi tu man United kuna shida sana.