Angel di Maria alichokifanya kwenye kombe la dunia ni tofauti na alivyokuwa Man United

Alichokifanya huyu mwamba kwenye kombe la dunia haswa Jana ni tofauti na alivyokuwa Man United, nahisi alikuwa anatufanyia kusudi, mpira wa Jana ndo wa di Maria tulikua tukiujua.
nilikerwa sana na uamuzi wa kocha kumuondoa ili messi aonekane, madhara yake argentina ikashinda kwa mbinde
 
Alichokifanya huyu mwamba kwenye kombe la dunia haswa Jana ni tofauti na alivyokuwa Man United, nahisi alikuwa anatufanyia kusudi, mpira wa Jana ndo wa di Maria tulikua tukiujua.
Man United kuna shida pale wachezaji wake wengi wakitoka nje ya team wanafanya vizuri

Harry Maguire kacheza vizuri national team
Jesse lingard alitolewa kwa mkopo akawaka
Lukaku aliondoka akawaka
Depay anakichafua balaa huko umeona world cup
Varane sio yule wa Manchester United kabisa
Casemiro sio yule wa Manchester United alivyocheza

Na wengine wengi tu man United kuna shida sana.
 
Inabidi kufikiria kumrejesha pale Carrington sasa na sio hizi tetesi tunazozisikia za Memphis Depay
 
Alipofanyiwa sub tu ndio hali akaanza kuwa mbaya kwa Argentina ndio muda huo mbape akaanza kuonekana
Jamaa kama angekuwepo wasingepanda amewasumbua sana na anajiamini mno. Alipotoka ndo wakaanza kupanda wote
 
Man United kuna shida pale wachezaji wake wengi wakitoka nje ya team wanafanya vizuri

Harry Maguire kacheza vizuri national team
Jesse lingard alitolewa kwa mkopo akawaka
Lukaku aliondoka akawaka
Depay anakichafua balaa huko umeona world cup
Varane sio yule wa Manchester United kabisa
Casemiro sio yule wa Manchester United alivyocheza

Na wengine wengi tu man United kuna shida sana.
Uko sahihi kabisa. Itakuwa labda pressure ya mafanikio ya haraka kwenye timu. Viongozi wanawatia pressure sana wachezaji
 
Man United kuna shida pale wachezaji wake wengi wakitoka nje ya team wanafanya vizuri

Harry Maguire kacheza vizuri national team
Jesse lingard alitolewa kwa mkopo akawaka
Lukaku aliondoka akawaka
Depay anakichafua balaa huko umeona world cup
Varane sio yule wa Manchester United kabisa
Casemiro sio yule wa Manchester United alivyocheza

Na wengine wengi tu man United kuna shida sana.
Hata Rojo na Sergio Romero ile 2018 Argentina ilipofika fainal walikuwa wa moto, walipokuja tu kusajiliwa Man UTD basi wakapotea kabisa.

Namuona Enzo Fernandez anaweza kuja Man Utd ndo atapotea mazima
 
Back
Top Bottom