Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Hawa ma Fanta au 0.5 huwa wanapendwa sana upande wa mama zao.
Inatosha BOSS wa kitengo alichoalikwa alifahamu hili basi unaweza kukuta hata mwaliko uliandikwa kuwa "awe anaongea Ki-Ukraine" na Kiswahili ambapo kwa Tanzania ni wachache sana.
Katoto ka Kiev kamekaa safi sana na hasa kanapoanza kupata umbo la Mwanamke na si KASICHANA.