mbona kuna a lot of mulato women siku hizi tanzania cuppilicious eeh pesa yako tuu!>....unakuwa light in less than a week....
You damn right cuppilicious!...ndiyo maana hufurukuti hapa yeah~!...
U sick, I'm glad at least you got religion sasa .Im talking about the brush with the likes of Al Capone.Umerudi kwenye form?
Bluray i have been religious for a while....ila sema ndiyo hivyo back and forth...basi ngoja nikupe story moja when i wa sin high school niliokata shauri then nikaona wananibana sana hakuna hata kusema hi kwa mwanaume ambaye hajaokoka ikabidi nijiengue....kisa cha kukata shauri ni kwa sababu tulikuwa tunapata opportunity za kutoka nje ya shule everysunday kwenda kanisani..kilichonishinda ni kwamba kufika kanisani watu wananena kwa lugha na miye sijui nikawa najaribu kuji pinch ili niweze na mimi kulia na kunena kwa lugha.....
nikaamua kurudi uraiani na kanisa likanitenga...nikaona isiwe hatari kwanza maendeleo yangu darasani yalikuwa yanafifia wao wanasema usali tuu na mungu atakuaidia mungu atakusaidiaje kama hujisaidii mwenyewe?....
Damn, she is fine!
Hahahahahahaaaa...mulatto wa mkorogo...no Cuppy. I'm happy with you...my scrumptuous nubian queen...
you sre so sweet cuppy mwaaah!....
Hahahaha, umezibuka kuliko nilivyofikiri!
Yaani unakata shauri ili kutoka nje ya shule, we kiboko.
By the way wale wote wanaonena kwa lugha wasanii tu, na wewe ungeunganisha tu "harararmashakarrraarara habarundamananana"
Unapeta tu, hamna anayejua anaongea nini, sembuse kujua mwenzake anaongea nini.After all ni karama ya bwana tu.
Wheeeeew!!! I finally got it. It took almost the whole damn day to get it. You made my day babe....
Get ready....we are going to Fogo de chao tonite....
Nilijua tu hii totoz itakuibua....Lol
Hahah, mi nipo mkuu...
YE analea jamani eeh!.....how is my lil man doing eeh.....new year nakuja hang naye no doubt!....
Karibu sana....SAINT.
Acha kunizeesha, i only said she is fine.
Ya coming for the champagneball? Get ya dancing shoes ready...lol
Kafanya nini mdada wa watu? Au ndio hivyo tena vya kujadili hakuna, kilichobaki kutafuta udaku!!!
GT anatafuta jiko -oops, mke-, anataka watu wamfanyie vetting.
4- Fiose malangalila - hot and sexy and classy too
Who's that?
hahahaha now i know how much nakujua cuppy...I knew katika majina yoooote hili ndiyo utalijia na question mark!....since ukishalisikia tuu unapatwa na goose bump....mwanaume mshenzi weyeeee! yooh.
Shut up Cuppy...lol