Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Nshomile hapo anaona kawaida tu, maana wale jamaa kwa mechi za mchangani wapo vizuri ndo maana unaweza kukuta hana wivu mkali......wapi nshomileeeeee wazee wa mibebez.
 
Nshomile hapo anaona kawaida tu, maana wale jamaa kwa mechi za mchangani wapo vizuri ndo maana unaweza kukuta hana wivu mkali......wapi nshomileeeeee wazee wa mibebez.
Ni kweli mkuu nimehakikisha jamaa hawana chembe ya wivu! Jamaa tulikuwa club yuko na mirupo mingine na wife yuko hapo club na mijanaume. Wife alianza kula muwa mbele ya watu na nshomile anaona na kama haitoshi wakaingia kwenye V8 iliyopaki karibu ikaaza kuyumba na kutetema kama inataka kuruka bila kuwashwa!
 
Unataka kusema na mama naee....
Acha bangi kijana
Kila mtu ana historia yake na hakuna historia inayokuwa siri kwa sababu kila mmoja anaishi miongoni mwa wengine hivyo wewe lala hapo.

Tumeongelea jinsi wanawake wa kiswahili wanavyofikishwa kileleni na wanaume, sasa kama huyo mama sio mwanamke, hapo sijui sasa.

It's better to leave some stones unturned for the sake of the position she is occupying at the moment.
 
Unamtakia nini? Mke wa mtu huyo!
 
Acha utabiri wako wa kitapeli
 
Hhahahahah......vipi angekuwa poti kutoka kule Mara, nafikiri bucha ingefunguliwa dakika sifuri.
 
Huyu jamaa haamini kwamba kwenye mafanikio ya mwanamke lazima yupo mwanaume, either ni mume wake au kwa namna yoyote ile lakini lazima awe mwanaume. Ni tofauti na mwanaume ambaye ni asilimia kidogo sana wanaweza kutoboa kwa influence ya mwanamke........
 
Ila kuna watu jamani humu duniani yani mtu azae na mkeo na bado unaendelea kumuita mkeo? hahaaaa only in Tanzania , yani yule jamaa alikua akiamua tu anaita yoyote hata kama mke wa mtu anatandika tu tena peku maamae na malukanga yake , kwakweli tumepitia wakati mgumu sana
 
Wachina wanamsemo wao m'moja kuwa huwezi kutia hekima katika kichwa cha mpumbavu, bora kuzungumza na mjinga anaweza kukuelewa na kuondokana na ujinga wake kwasababu ujinga ni asili ila upumbavu ni maamuzi ya mtu kukataa kujifunza.

Mtu anaekubishia kuwa mwanamke kutoboa bila mwanaume ni ngumu muache tu ataukuta ukweli kwenye harakati zaje.

Kuna binti m'moja wa kinyiramba nilimaliza nae chuo. Allnatoka familia ya kipato cha kawaida sana au tuseme cha chini basi.

Alikuwa na kauli kuwa yeye haya maisha haishi kumtegemea mwanaume , na hatokuja kutegemea mwanaume hata iweje atapambana hadi mwisho.

Kiukweli ni binti mzuri sana kwa muonekano maana nampa 90% ya 100%.

Shida ni moja , alikuwa na ego kubwa na yupo very arrogant with masculine energy which are toxic traits kwa binti yoyote yule.

Mwezi wa sita mwaka huu ndio napata taarifa zake kuwa ameolewa na jamaa moja dereva wa gari za tour na wanamtoto m'moja. Jamaa anamkung'uta kisawa sawa kwasababu ya issues za wivu plus hali si nzuri maana biashara ya utalii kwa sasa hamna kitu kwa kampuni ndogo ndogo hizi.
 
Wewe huelewi kitu kimoja kikubwa na cha msingi sana. Hayupo kiumbe hapa duniani ambaye ni powerful kama mwanamke. Kwa hiyo, mwanaume yeyote usipojua hili, lazima tu uwe mtumwa wa wanawake na watakusumbua sana maisha yako yote. Mwanaume aliyeiva lazima huwa anajua kuwa ladies are the most powerful creatures in this world! Kalaghabaho
 
Unamaana S A S! Kwahiyo ni Niga! Aah, ndiyo maana ana nywele za singa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…