Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Uzuri utetezi upo yani! Kama walipendana kweli wataendelea sababu mwanamke alimshirikisha mumewe katika janga hilo!

Sio kwa kupenda ila alifosiwa sana na mikwara kuwa na mumeo tutamfuta kazi ukigomea hilo! Sometimes wanaume inabidi tujifunze kuwa na roho za chuma tu!

Inakuja jumbe tu unataka kazi au hutaki na mumeo wote mtarudi benchi [emoji23]! Mtt lazma ajitetee hivi mwacheni akaombe msamaha huko uchinani

Kwani hawakuwa na professional zao kabla?
 
Chadema imekuwa kama vile vigenge vya wanawake wambea kusema watu, yaani kuna mijitu humu ina midevu na goroli zake 2 zimening'iniza yanapiga umbea kusema watu kama mabinti[emoji1787][emoji23][emoji1787], wewe kama ametembea na flani we inakuuma nini? Kama amezalishwa si kapenda yeye? Halafu ukiambiwa uthibitishe kumbe na wewe umesikia kwa mtu, yaani kama wanawake wale wambea waliokosa kazi...

Aisee mnaudhi sana, hebu tuzungumzie mambo mengine sio kusema watu kama wanawake wa uswahilini dume zima na kende zako una discuss maisha ya watu..

Katika Wanaume mnaojielewa,mmoja wapo ni wewe.
 
Wakurungwa salam,

Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.

Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
Mara ya mwisho alikuwa Waziri wa uwekezaji sema alikuwa mzigo sana nikikumbuka kauli za mwendazake.
 
Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubebwa na wanaume kwa kutumia mahaba kama qualification criterion.

Angalia wanawake wote walio ktk nafasi zenye ushawishi mkubwa katika nchi hii lazima utakuta nyuma yake kuna mwanaume, anzia juu kabisa kushuka chini.

Hakuna mwanamke anayeweza kufika kileleni bila kusaidiwa na mwanaume, kama yupo mniambie ni nani na uangalie usiropoke usije ukaumbuka bure humu.

Huyo anayesemwa humu hayuko peke yake, wanawake wote, hasa wa kiafrika, hiyo ndio hulka yao. Tuseme tu ukweli, isingekuwa mwanamme leo hii tusingekuwa na rais mwanamke, watu wazima watanielewa. So please leave Angela alone.
Unataka kusema na mama naee....
Acha bangi kijana
 
MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.😂😂😂😂
Hivi jiwe alipuliza puto kumbe! eh! Jimama mchanganyiko wa mshirazi (baba salum ahmed salum) na mpare (mama mpare). Jiwe hii dhambi nina uhakika hakutubu! kuzaa na mke wa mtu! Ona mama wa watu aibu!!!! hadi china! lakini nshomile hawana wivu najua! Kt kama kazi
 
Haa haa..watu mna maneno puto tena..😀
 
Wakurungwa salam,

Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.

Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
Alipo mimi sijui ninachojua hakuwa Dk fullstop.
 
Wakurungwa salam,

Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.

Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
Tumuulize Mke Mwenzie, Mwenzake,
Yuko Temeke Kwa sasa
 
Kipindi Cha kampeni 2020 alikua anamfanyia kampeni mgombea wa Kibamba Dar. Alikua anaonekana mgonjwa mgonjwa Hana Raha na alikua hawezi kuongea kwa muda mrefu. Ila zikuweza kumuuliza anasumbuliwa na Nini.
 
Back
Top Bottom