Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Nadhani Kamata alimnyima
Aliliwa halafu akaambulia patupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Kamata alimnyima
Uzuri utetezi upo yani! Kama walipendana kweli wataendelea sababu mwanamke alimshirikisha mumewe katika janga hilo!
Sio kwa kupenda ila alifosiwa sana na mikwara kuwa na mumeo tutamfuta kazi ukigomea hilo! Sometimes wanaume inabidi tujifunze kuwa na roho za chuma tu!
Inakuja jumbe tu unataka kazi au hutaki na mumeo wote mtarudi benchi [emoji23]! Mtt lazma ajitetee hivi mwacheni akaombe msamaha huko uchinani
HuendaKwani hawakuwa na professional zao kabla?
Chadema imekuwa kama vile vigenge vya wanawake wambea kusema watu, yaani kuna mijitu humu ina midevu na goroli zake 2 zimening'iniza yanapiga umbea kusema watu kama mabinti[emoji1787][emoji23][emoji1787], wewe kama ametembea na flani we inakuuma nini? Kama amezalishwa si kapenda yeye? Halafu ukiambiwa uthibitishe kumbe na wewe umesikia kwa mtu, yaani kama wanawake wale wambea waliokosa kazi...
Aisee mnaudhi sana, hebu tuzungumzie mambo mengine sio kusema watu kama wanawake wa uswahilini dume zima na kende zako una discuss maisha ya watu..
Ungempa uone kama haweziSasa jiwe na ile pace maker alikuwa anauweza muziki wa yule Dada?!!!
Mara ya mwisho alikuwa Waziri wa uwekezaji sema alikuwa mzigo sana nikikumbuka kauli za mwendazake.Wakurungwa salam,
Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.
Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
Unataka kusema na mama naee....Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubebwa na wanaume kwa kutumia mahaba kama qualification criterion.
Angalia wanawake wote walio ktk nafasi zenye ushawishi mkubwa katika nchi hii lazima utakuta nyuma yake kuna mwanaume, anzia juu kabisa kushuka chini.
Hakuna mwanamke anayeweza kufika kileleni bila kusaidiwa na mwanaume, kama yupo mniambie ni nani na uangalie usiropoke usije ukaumbuka bure humu.
Huyo anayesemwa humu hayuko peke yake, wanawake wote, hasa wa kiafrika, hiyo ndio hulka yao. Tuseme tu ukweli, isingekuwa mwanamme leo hii tusingekuwa na rais mwanamke, watu wazima watanielewa. So please leave Angela alone.
Wanakusema huku mzee
Haya mambo yanaweza yakamfanya mtu akapime DNA hata bila kutaka...Yes analea mtoto wa marehemu
Hivi jiwe alipuliza puto kumbe! eh! Jimama mchanganyiko wa mshirazi (baba salum ahmed salum) na mpare (mama mpare). Jiwe hii dhambi nina uhakika hakutubu! kuzaa na mke wa mtu! Ona mama wa watu aibu!!!! hadi china! lakini nshomile hawana wivu najua! Kt kama kaziMaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.😂😂😂😂
Haa haa..watu mna maneno puto tena..😀Hivi jiwe alipuliza puto kumbe! eh! Jimama mchanganyiko wa mshirazi (baba salum ahmed salum) na mpare (mama mpare). Jiwe hii dhambi nina uhakika hakutubu! kuzaa na mke wa mtu! Ona mama wa watu aibu!!!! hadi china! lakini nshomile hawana wivu najua! Kt kama kazi
Alipo mimi sijui ninachojua hakuwa Dk fullstop.Wakurungwa salam,
Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.
Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
Tumuulize Mke Mwenzie, Mwenzake,Wakurungwa salam,
Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.
Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
Warundi wanapenda Sana utelezi MweupeMaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini Meko alikuwa Mrundindo wasukuma walivyo