Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Kwa niliyoyasoma humu basi bila Shaka mjane amefarijika Sana na hakika stress zimeshaisha kabisa. Hongera Sana mama kwa uvumilivu mkubwa.
 
Muulize Balozi ...Mbelwa ...maana ndo mwenye Jiko.
 
Character assassination..
 
Nchi hii bwana, imefika wakati haujui mtu kama bado ni Waziri au la. Yaani anapotea tu katika uso wa dunia, halafu mara anakuja kuibuka na matamko.

Haya mambo nilidhani yatabakia nchi kama Nigeria ambako hadi Rais alikuwa anapotea miezi minne na zaidi haijulikani yuko wapi baadae Serikali inatangaza yuko Saudi Arabia kwa matibabu.
 
Jomoni toto la kiTA mrembo wa haja haonikani? Mwanasheria nguli wa kike masharaaa wa kibrush
 
Huyu kawekwa na mwanaume gani Dr. Asha-Rose Migiro
We must respect people's privacy madam, no one is infallible in this world. If you want me to divulge more information to you, please DM me.
 
Ummy alipewa uwaziri
Kairuki alipewa uwaziri
Joketi UDC
Sundi Ukaguzi wa migodi

Alikuwa anawakumbuka sana.
Enzi chuma alikua waziri alikua bahili saana! Wabunge walikua wanamkimbia kwenye kazi zake na hata akiwatongoza..alivyopata urais alilipa fadhila Sana kwa wale wachache waliomvumilia udhaifu wake..pia aliibua Sana Tim mpya ambayo ukimtii anakupa unachotaka Ila ukimkaid anakupa maumivu hutokaa kuyasahau
 
Yuko china kwa mumewe mbelwa kairuki

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wengine hatujawahi kumsikia, tuwekee picha yake tumuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…