Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala ya jamii

Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala ya jamii

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Eti wanataka tuache kuibagaza ripoti yao ushuzi tuhamie kwenye jambo jingine, lakini wanatia petroli kwenye moto🤣🤣 yaani ndo wameona Kizigha atazima hii, kabisaaaa? Haya wacha tuendelee kuwanyorosha lakini kwenye reli hatutokišŸ˜Ž

Lakini wakuu hivi kuna namna ya kufanya kinyesi kiwe kichafu na kunuka zaidi? Au ndo itabidi tuongeze uharo mwingine? :BearLaugh::KEKLaugh:

Screenshot_20260424_175112_Instagram.jpg
 
Aiseeee hatari ,si aliteuliwa UGUNGE juzi juzi?

FUTUHIIIIIIIIIII ndiyo ni FURUHI.
 
Kwa sasa raia tuna unofficial ā€˜mutual understanding’ na raisi wetu. Hatujali tena anafanya mambo gani ya hovyo; na yeye hajali tena kwenye kufanya mambo ya hovyo.

Kilichobaki ni kuomba kudra za mwenyezi mungu tu, tuishi bila ya watekaji na kuepuka kadhia ya kutoa rushwa katika kila huduma ya jamii.

Huko juu wacha afanye anavyotaka tamaa za maafisa wa vyombo vya ulinzi ndio zimetufikisha hapa; kwa sasa hana hata chembe ya aibu aliyobakiza.

Wengine watasema hapana mnamuonea tu, mganga wa Kizigha ni konki ndio maana ana mmudu raisi.
 
Back
Top Bottom