Kwa sasa raia tuna unofficial āmutual understandingā na raisi wetu. Hatujali tena anafanya mambo gani ya hovyo; na yeye hajali tena kwenye kufanya mambo ya hovyo.
Kilichobaki ni kuomba kudra za mwenyezi mungu tu, tuishi bila ya watekaji na kuepuka kadhia ya kutoa rushwa katika kila huduma ya jamii.
Huko juu wacha afanye anavyotaka tamaa za maafisa wa vyombo vya ulinzi ndio zimetufikisha hapa; kwa sasa hana hata chembe ya aibu aliyobakiza.
Wengine watasema hapana mnamuonea tu, mganga wa Kizigha ni konki ndio maana ana mmudu raisi.