Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala ya jamii

Kadri wanavyojaa pale juu wanamzingira mwishowe wanamtanguliza tu mana kashawalisha vya kutosha. Joka hili sio la kufugwa hata kidogo
 
Hangaya itakua anachezeana na huyu maza sio kwa mahaba hayo.
 
Hizi movement kutoka kuwa shosti wa deals za arms halafu mbunge EALA Afrika Mashariki Arusha, mbunge bunge la Dodoma kisha kutua tena Ikulu mshauri
 
Wanajua mtaacha kujadili time, muanze kumjadili Kiziga. A very calculated move

Hata hivyo msiniteke jamani. Mimi jobless
Watanzania wa sasa sio wa miaka hiyo
 
Ama kweli!
 
 
Kuna mtu anatengenezewa kingaaa aka ngaoo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…