Angela Simmons anavaa shanga za Kimasai kiunoni

Uzuri wa shanga ujue jinsi ya kuzitumia lol.Ila mbona huyu kavalia tumboni tena jameni..au kiuno siku hizi kimekua juu ya tumbo[emoji38][emoji38]
 
Mkuu ivi hapo ni tumboni kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona wote mmevurugwa mkuu
Wapuuzi tu kila mtu anajua shanga zinakaa kiunoni haijalishi kazipandisha wapi zinashuka kiunoni
 
Picha moja tu!!..haitoshi..hebu ongeza nyingine ili tuweze kuthibitisha ukisemacho
 
Zinavaliwa sana, mbele mbele huko
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-211321.jpg
    61.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220814-211119_1.jpg
    50 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…